Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ni mimi huyo. 🙈.
Kuna siku nilimuonea huruma tulikuwa tumefungwa basi mpira umeisha anaambiwa apige kigele gele akabakia kusema hakitoki. 😅😅😅Leo nilibahatika kuonana na muasisi wa hii neno na akanipigia kigelegele na tukamalizia na kapicha pale jukwaani......
Ai lavu yu Yangaaaaaaa,hakuna aliyeandikiwa barua kuja kuishangilia Yanga,Tumeipenda wenyeweeeee
Hahahaa!! Hakutaka mpira uishe huyo.Wakati natazama mpira Nilikaa na mshabiki Wa simba pembeni yangu, Basi refa alipomaliza mpira yule shabiki akaongea kwa hasira "refa ms**nge sana huku akirusha mikono na kuondoka. Nikagundua jamaa alikuwa anataka burudani iendelee
😂😂😂Itakuwa ni mimi huyo. 🙈.
😂😂😂😂niliona alikaa chini kabisa choka mbayaKuna siku nilimuonea huruma tulikuwa tumefungwa basi mpira umeisha anaambiwa apige kigele gele akabakia kusema hakitoki. 😅😅😅
Ila tuzipende timu lakini sio kwa kiwango kile aisee.😂😂😂😂niliona alikaa chini kabisa choka mbaya
Shadeeya mtani Mpira wetu umeshapatikana ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1370073
Shadeeya najua wewe ni mkali wa hesabu, hebu niangalizie hapo tofauti ya point kati ya Simba na Yanga maana hesabu kwa upande wangu hazipandi kabisaaa🤪🤪🤪Watani gombanieni nafasi ya 2 au mjitahidi kubeba kombe la FA, Gari limewaka na hakuna breki mlima wa kitongaView attachment 1374379
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa. Bado tumeungana kuanza kuutafuta huu wa Boko kisha tunakuja wa Morison.
Hahahahaaa. Bado tumeungana kuanza kuutafuta huu wa Boko kisha tunakuja wa Morison.
Juzi nayo si ni zilipendwa pia.Hizi ni hadithi za zilipendwa hizi bana, tunaongelea ya juzi
Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba tusubiri tarehe nane machi tentetwente? Hatutakimbiana kweli lakini? Umeme hautakatika kwako? Lugha hazitabadilika kumlaumu refa kua kapokea muamala? Hamtachapana bakora na kutiana vidole vya macho baada ya mechi?🤣🤣🤣🤣Juzi nayo si ni zilipendwa pia.
Ujue nikichat najiiba hapa kwa Muhindi sasa maswali yote haya nayajibu saa ngapi mie. 🤔🤔🤔Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba tusubiri tarehe nane machi tentetwente? Hatutakimbiana kweli lakini? Umeme hautakatika kwako? Lugha hazitabadilika kumlaumu refa kua kapokea muamala? Hamtachapana bakora na kutiana vidole vya macho baada ya mechi?🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaa, najua wanikatalia tu mkali wangu wa hesabu. Si unakumbuka shule tulikua tunasema wewe ndie yule unayetoaga majibu kwenye calculator? Sasa haka kahesabu kadogo ka point umeshindwa kunisaidia?!!!!Hivi mi na wewe huwa tunachekana kweli. Hata na mie sijui hesabu. 😉😉