Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo nilibahatika kuonana na muasisi wa hii neno na akanipigia kigelegele na tukamalizia na kapicha pale jukwaani......

Ai lavu yu Yangaaaaaaa,hakuna aliyeandikiwa barua kuja kuishangilia Yanga,Tumeipenda wenyeweeeee
Kuna siku nilimuonea huruma tulikuwa tumefungwa basi mpira umeisha anaambiwa apige kigele gele akabakia kusema hakitoki. 😅😅😅
 
Wakati natazama mpira Nilikaa na mshabiki Wa simba pembeni yangu, Basi refa alipomaliza mpira yule shabiki akaongea kwa hasira "refa ms**nge sana huku akirusha mikono na kuondoka. Nikagundua jamaa alikuwa anataka burudani iendelee
Hahahaa!! Hakutaka mpira uishe huyo.
 
Juzi nayo si ni zilipendwa pia.
Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba tusubiri tarehe nane machi tentetwente? Hatutakimbiana kweli lakini? Umeme hautakatika kwako? Lugha hazitabadilika kumlaumu refa kua kapokea muamala? Hamtachapana bakora na kutiana vidole vya macho baada ya mechi?🤣🤣🤣🤣
 
Ujue nikichat najiiba hapa kwa Muhindi sasa maswali yote haya nayajibu saa ngapi mie. 🤔🤔🤔

Najibu moja tu kwamba sina hakika kwamba umeme kweli. 😎😎
 
Hah
Hivi mi na wewe huwa tunachekana kweli. Hata na mie sijui hesabu. 😉😉
Hahahaaaa, najua wanikatalia tu mkali wangu wa hesabu. Si unakumbuka shule tulikua tunasema wewe ndie yule unayetoaga majibu kwenye calculator? Sasa haka kahesabu kadogo ka point umeshindwa kunisaidia?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…