Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyo ropo ropo wao akawafurahisha zaidi na kuwaambia tukiwafunga anatembea kwa miguu toka europe mpaka hapa.
Nugaz alisema bila janja janja hawatuwezi hao M b u m b u m b uWoyoooooooo
HT mikia0vs1wananchi
Na tumewatandika bakora moja matata sana.MUNGU IBARIKI YANGA!! KWA UWEZO WAKO TUTAWABOMOA MIKIA MPAKA WATANDIKANE BAKORA!!
😀😀😀Nasikia huyu mnyama ashagoma hata msilitumie jina lake mana yeye huwa habebwi kwenye kutafuta msosi.
Mi huwa nawashangaa sana yaani. Yaani jana walipoteana mbaya.Usifananishe YANGA na wauza ice-cream.
Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Basi sawa. 😅😅
Hukwenda Uwanjani nini Kaka?Why kocha kamtoa Morison wakati ndiye anadictate mchezo? Hii sub sijaielewa
Mtani kwa hii kauli sijui kama ntakuona leo au kujibu quote zangu zaidi ya likes tu 😂😂👹👹Massacre inakuja
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Nipo Shem. Hii ndio Yanga.Wapi shemela?
Haezi kujibu hilo swali shem.Ikawaje?
Kazi kazi tu Shem.Nipo Shem. Hii ndio Yanga.
Hawezi huyo ati.Haezi kujibu hilo swali shem.
Tunaganga yajayo. Waache janja janja.Kazi kazi tu Shem.
Mji umetulia tuliii.Tunaganga yajayo. Waache janja janja.
Siyo mji, Sema NCHI imekuwa shwari kabisa, kelele hakuna. Tumelala usingizi mzuri sana leo.Mji umetulia tuliii.
Sawa. 🤣🤣🤣Kuitetete Yanga hivi Wakati hali halisi inanyesha kuna hatari iko mbele
Sent using Jamii Forums mobile app