Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wajitafakari aiseee. Wajue hatupendi furaha za vipindi sisi kama tunaweza kumfunga Simba hawa vidagaa wanatufungaje?

Tusubiri leo tuone huko Lindi napo.
Uwezo uwanjani hamna Shadeeya, kwenye ile mechi na Simba kamati yenu ya "ufundi" ilifanya mambo. Mlichoharibu baada ya kuwabeba hamkuwalipa, sasa wamewaachia muonyeshe hicho kiwango chenu mnachodhani mnacho
 
Yaani umeona goli alilokosa Molinga tu? Na nyie mlikoswakoswa pia ukumbuke. Ilikua mpapaswe viwili safi kabisa
 
Wazungu hua ni wakweli sana. Katamka mwenyewe kua ushindi wa Simba wa bao 8 kwa sifuri baada ya kutoka kupoteza mechi ni alama ya timu bora
 
Yanga ni utoporo iliyochangamka, bila ya ndumba hamna kitu
Lipeni waganga shauri yenu

Nawashauri game na Azam msingize timu uwanjani, maana mtaenda ambulia fedhea mzee mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…