MWESONGO RAMADHAN
Member
- Jul 24, 2019
- 46
- 46
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kwa tafsiri nyingine ni 3, aisee humtakii mema Shadeeya
Yanga wakiwa uwanjani unaona wanaumoja,,
Mkwasa mda si mrefu atakaa pembeni,, ni kati ya makocha wanakuja Yanga ikiwa na matatizo,,Wanaloga mechi moja[emoji16]
Ndio mkuu Ubingwa ni wetu Yanga.
Ati nini??[emoji3]Yanga ni Njombe mji iliyochangamka
Mnyama mkali corona inamuogopa, itampataje kwa mfano?Hebu huko na wewe. 😂😂😂 Corona wapelekee Simba.
Uwezo uwanjani hamna Shadeeya, kwenye ile mechi na Simba kamati yenu ya "ufundi" ilifanya mambo. Mlichoharibu baada ya kuwabeba hamkuwalipa, sasa wamewaachia muonyeshe hicho kiwango chenu mnachodhani mnachoWajitafakari aiseee. Wajue hatupendi furaha za vipindi sisi kama tunaweza kumfunga Simba hawa vidagaa wanatufungaje?
Tusubiri leo tuone huko Lindi napo.
Yaani umeona goli alilokosa Molinga tu? Na nyie mlikoswakoswa pia ukumbuke. Ilikua mpapaswe viwili safi kabisaYaani wacha tuitwage Utoporo tu, mi mwenyewe walinikera mbaya wenzao tulitaka tuendeleze furaha wao wanaleta masikhara. 😔
Kama Molinga kuna nafasi ya wazi aliipoteza kizembe sa sijui mawazo yake yalikuwa wapi sababu yale maamuzi ya haraka aliyakosa kabisa.
Afadhali uliongea ukweli wako😂😂😂Mechi ngumu sana hii ila tuamini tutashinda
Wazungu hua ni wakweli sana. Katamka mwenyewe kua ushindi wa Simba wa bao 8 kwa sifuri baada ya kutoka kupoteza mechi ni alama ya timu bora"Nimekuja na wachezaji wachache lakini nna imani tutafanya vizuri na kupata matokeo dhidi ya timu bora Namungo FC, Ni kama Simba SC baada ya kupoteza mchezo waliinuka na kushinda mchezo unaofuata 8-0 hii ni ishara ya timu bora. . naamini vijana wangu pia watathibitisha hilo leo jioni kuwa Yanga SC ni kubwa na timu bora. . Kuhusu wachezaji ambao hawajasafiri pamoja na timu nadhani ni vema nikaliweka wazi hili. . nimesikitishwa sana kwangu mimi ni kukosa uweledi wengine ni majeruhi kama Adeyun , Kelvin Yondani ana matatizo ya kifamilia na Niyonzima Haruna amesimamishwa . . wengine nasikia imewahi kutokea huko nyuma, hili sikubaliani nao na sio kariba ya klabu kubwa kama Yanga . . kuna wachezaji wanachagua mechi za kucheza yaani Sadio Mane ama Mohamed Salah aseme hataki kwenda kucheza huko?. . OOOOOPs ni nini hicho? kuna wachezaji wanadhani wao ni Ronaldo au Messi? hata hao hawafanyi hivo . . hii sio heshima kwa klabu, hii sio heshima kwa nembo ya Yanga SC. . sio heshima kwa wachezaji wenzao na wafanyakazi wote wa Yanga na mashabiki wake"
-Luc Eymael.
NIMESIKITIKA SANA NIMEONA KOCHA KAONGEA KWA MASIKITIKO SANA. SIJUI KUNA KITU GANI KINAENDELEA SISI HATUJUI
Hahahaaaa. Mungu anakuona Mtani kwa huu Mzaha.Mimi nakataa Shadeeya kwa uwezo alionao Mo Linger alipaswa awe anacheza ligi kubwa Ulaya, amemzidi uwezo Robert Lewandowski wa Bayern Munich, unataka kusema nini Shadeeya.
Tafadhali mpe heshima yake Papaa Mo Linger.
Sawa bana.Kitu chepesi kutabiri ni Mvua - hii ni kwa mujibu wako mwenyewe
Kila lakheri Namungo fc
Mambo yakikaa sawa wote ni wa kuacha hao.Hao kina Kelvin yawezekana ni sehemu ya uhujumu
Hilo kombe tulishawaachia Mtani.Shadeeya tumefanikiwa kushinda na Njaa dhidi ya Namungo.
Msimu huu Yanga hatuna mpinzani ubingwa ni wetu huu.View attachment 1389147
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache. 😅Yanga ni Njombe mji iliyochangamka