Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Namungo walibebwa jambo ambalo yaweza kuwa ni mipango yenu kama KMC vile na yule mshauri mkuu kilaza
 
simba bora inahitaji mpinzani bora(yanga) ili ligi yetu iwe bora, naiombea yanga ipate japo kombe la FA ili tukanufaike kwenye michuano ya kitaifa
Wachaaa!!! Ombi lako lowe ni lenye kufanikiwa Mtani.

Na pia ikawaida Simba na Yanga ndio zinafanya Ligi ya Tanzania iwe bora na yenye upinzani , ndio sababu zimekuwa zikikutana na timu ndogo upinzani huwa ni wa hali ya juu.
 
ok, pole kwa huzuni wa kupoteza baadhi ya michezo, cha msingi menejimenti yenu ya yanga ijipange kwa msimu ujao.
muache kudanganywa(matumaini fake) na hao mikia wenu kuwa bado mnagombania ubingwa
 
ok, pole kwa huzuni wa kupoteza baadhi ya michezo, cha msingi menejimenti yenu ya yanga ijipange kwa msimu ujao.
muache kudanganywa(matumaini fake) na hao mikia wenu kuwa bado mnagombania ubingwa
Daah!! mtani huu upande umeamkia leo huu. Unamwaga busara mbaya. 🤣
 
ok, pole kwa huzuni wa kupoteza baadhi ya michezo, cha msingi menejimenti yenu ya yanga ijipange kwa msimu ujao.
muache kudanganywa(matumaini fake) na hao mikia wenu kuwa bado mnagombania ubingwa
Ahsante Mtani. Yah. Kama usemavyo kikubwa nikuiboresha timu kwa sasa na kujipanga kwa msimu ujao.

Mi tangia mwanzo nilisema tunavyozidi kupata sare na kufungwa hovyo ni dhahiri mwisho wa siku ubingwa tutausikia kwenye bomba hasa ukizingatia wenzetu nyie ni wazee wa miamala. Tunawafikiaje kwa mfano. Hapa tujipange kwa msimu ujao tu.
 
Maneno yenye ukweli, maneno yenye hekima, maneno yenye busara. Uendelee hivyo hivyo
 
ahahahaha kweli mzgu ndo mana yuko mbali kimaendeleo. Yaani mtani pamoja kua Yanga saizi ni mabonde kuinama fc, ila ukubali kua Simba ni timu bora Tanzania kwa sasa.
Luc alishakili kua Simba imeonesha kua ni timu bora baada ya kutoka kufungwa na kuja kushinda goli 8, Mabonde kuinama fc inatoka kufungwa inaenda kutoa sare, huoni utofauti hapo, Reaction za timu ni tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiambiwa uthibitishe kuwa tunatoa miamala unaweza kuthibitisha?
hata mechi ya singida united tulitoa miamala?
mbona nyie mechi yenu na KMC hamkutoa miamala!
Ila najua tutasimama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…