Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Hii ni Yanga au UTOPOLO-Jimmy Kindoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongereni kwa kumaliza mchezo salama bila ya kupata red card au wachezaji wenu kupata majeraha.MIKIA BWANA 🤔🤔
Pia tuwaambie tu yana mwisho hayo.Namungo walibebwa jambo ambalo yaweza kuwa ni mipango yenu kama KMC vile na yule mshauri mkuu kilaza
Mmmh. Toka lini ukatuombea mema?hongereni kwa kumaliza mchezo salama bila ya kupata red card au wachezaji wenu kupata majeraha.
nawatakia ushindi kwa mchezo unaofuata(Azam fc)
simba bora inahitaji mpinzani bora(yanga) ili ligi yetu iwe bora, naiombea yanga ipate japo kombe la FA ili tukanufaike kwenye michuano ya kitaifaMmmh. Toka lini ukatuombea mema?
Wachaaa!!! Ombi lako lowe ni lenye kufanikiwa Mtani.simba bora inahitaji mpinzani bora(yanga) ili ligi yetu iwe bora, naiombea yanga ipate japo kombe la FA ili tukanufaike kwenye michuano ya kitaifa
napita tu......Wachaaa!!! Ombi lako lowe ni lenye kufanikiwa Mtani.
Na pia ikawaida Simba na Yanga ndio zinafanya Ligi ya Tanzania iwe bora na yenye upinzani , ndio sababu zimekuwa zikikutana na timu ndogo upinzani huwa ni wa hali ya juu.
ok, pole kwa huzuni wa kupoteza baadhi ya michezo, cha msingi menejimenti yenu ya yanga ijipange kwa msimu ujao.Wachaaa!!! Ombi lako lowe ni lenye kufanikiwa Mtani.
Na pia ikawaida Simba na Yanga ndio zinafanya Ligi ya Tanzania iwe bora na yenye upinzani , ndio sababu zimekuwa zikikutana na timu ndogo upinzani huwa ni wa hali ya juu.
Pita tu. Iko siku utasimama. 😅😅😅
Daah!! mtani huu upande umeamkia leo huu. Unamwaga busara mbaya. 🤣ok, pole kwa huzuni wa kupoteza baadhi ya michezo, cha msingi menejimenti yenu ya yanga ijipange kwa msimu ujao.
muache kudanganywa(matumaini fake) na hao mikia wenu kuwa bado mnagombania ubingwa
Tumeambiwa "mpende adui yako"Mmmh. Toka lini ukatuombea mema?
nawaza tu kwa sauti, ujue kuna baadhi ya mambo hayaitaji darubini ili uweze kuona.Daah!! mtani huu upande umeamkia leo huu. Unamwaga busara mbaya. 🤣
Ahsante Mtani. Yah. Kama usemavyo kikubwa nikuiboresha timu kwa sasa na kujipanga kwa msimu ujao.ok, pole kwa huzuni wa kupoteza baadhi ya michezo, cha msingi menejimenti yenu ya yanga ijipange kwa msimu ujao.
muache kudanganywa(matumaini fake) na hao mikia wenu kuwa bado mnagombania ubingwa
Hii ni kauli ya kukata tamaa kabisa, msifanye hivyo bana Shadeeya, mbona ubingwa wa TPL njenjenje kabisa kwenu😂😂😂🤸♀️🤸♂️🏃♂️Pia tuwaambie tu yana mwisho hayo.
Maneno yenye ukweli, maneno yenye hekima, maneno yenye busara. Uendelee hivyo hivyoAhsante Mtani. Yah. Kama usemavyo kikubwa nikuiboresha timu kwa sasa na kujipanga kwa msimu ujao.
Mi tangia mwanzo nilisema tunavyozidi kupata sare na kufungwa hovyo ni dhahiri mwisho wa siku ubingwa tutausikia kwenye bomba hasa ukizingatia wenzetu nyie ni wazee wa miamala. Tunawafikiaje kwa mfano. Hapa tujipange kwa msimu ujao tu.
Mtani mbona mwaka wa tatu huu mnasema tu mtakaa sawa, naisuburi kwa hamu hiyo kaa sawa yenuPia tuwaambie tu yana mwisho hayo.
Ila najua tutasimama tu.nawaza tu kwa sauti, ujue kuna baadhi ya mambo hayaitaji darubini ili uweze kuona.
club ya yanga imefloop sana
ahahahaha kweli mzgu ndo mana yuko mbali kimaendeleo. Yaani mtani pamoja kua Yanga saizi ni mabonde kuinama fc, ila ukubali kua Simba ni timu bora Tanzania kwa sasa.Ahsante Mtani. Yah. Kama usemavyo kikubwa nikuiboresha timu kwa sasa na kujipanga kwa msimu ujao.
Mi tangia mwanzo nilisema tunavyozidi kupata sare na kufungwa hovyo ni dhahiri mwisho wa siku ubingwa tutausikia kwenye bomba hasa ukizingatia wenzetu nyie ni wazee wa miamala. Tunawafikiaje kwa mfano. Hapa tujipange kwa msimu ujao tu.
ukiambiwa uthibitishe kuwa tunatoa miamala unaweza kuthibitisha?Ahsante Mtani. Yah. Kama usemavyo kikubwa nikuiboresha timu kwa sasa na kujipanga kwa msimu ujao.
Mi tangia mwanzo nilisema tunavyozidi kupata sare na kufungwa hovyo ni dhahiri mwisho wa siku ubingwa tutausikia kwenye bomba hasa ukizingatia wenzetu nyie ni wazee wa miamala. Tunawafikiaje kwa mfano. Hapa tujipange kwa msimu ujao tu.
Ila najua tutasimama tu.