Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wewe ndio huelewi

Hicho unachong'ang'ania kiwe, kimeshaairishwa, unatamani kurudisha wakati nyuma [emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, Mara hii tu
 
Sasa mbona mambo magumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbumbumbu fc.limewashukaaaaaView attachment 1398976

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo Naipenda utopolo sio Official page ya Vyura huyo ni muhuni alieamua kufungua page yake na Bahati nzuri ana Followers wengi kuliko hata Official page ya Vyura.
Kwa hiyo hizo silabi ameandika yeye Kama yeye toka GSM ilipotoa barua uongozi wa Vyura haujatoa tamko lolote wala hakuna official page ya Vyura ambayo imethibitisha kuwa GSM ataendelea na majukumu ambayo hayamuhusu
SHIDA IPO PALE PALE.
 
Hahahaaaa. Nawaza hali uliyonayo now.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ama kweli adui muombee njaa yaani umeandika kwa furaha zote. Hahahaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…