Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaha, Tshishimbi ilikua project ya watu kuvuta hela ,km ilivyo kawaida msimu Wa usajiri ukiwadia
 
Yaani hawakawiagi kuleta masokomoko huko.

Safari hii kawekwa na mdada.
Hahahaha ndio maana nakuambiaga Mtani hy timu yenu, mikamati mingi halafu naona haina tija

Hivi ile ya akina bin kleb kusimamia usajiri vipi si ndio muda wake huu ?

Na ile nyingine sijui ya uchumi sijui kujenga uwanja , yaani ili mradi tu kula MTU aliye karibu na timu awepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…