Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaYaani ila walivuka mipaka na ndio wengine wakatuletea magarasa kina Yikpe.[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaYaani ila walivuka mipaka na ndio wengine wakatuletea magarasa kina Yikpe.[emoji23]
Hahahaha, Tshishimbi ilikua project ya watu kuvuta hela ,km ilivyo kawaida msimu Wa usajiri ukiwadia[emoji2] [emoji2] mwanzo lilikuja vuvuvugu la kufurahia ujio wa tshishimbi huko mpaka ajibu na Manara kwenye page zao za akaunti walikuwa wanapost ishu za huyu mkongo kiasi Manara akasema yeye anatamani tshishimbi aje simba,je kwa nafasi anayocheza na umri wake ni kweli tshishimbi ni hitaji haswa la kikosi chenu?
Apumzike kwa amani Marin!
Oyeee!!!!!! tupo wazee wa utopolo a.k.a malalamiko fc,,,karibu ww shabiki wa Mnyama Simba Sports Club.unaitwa nani na unataka nini kwetu sisi yanga ?
Naona MINYER...United Mnapiga stori hapaOyeee!!!!!! tupo wazee wa utopolo a.k.a malalamiko fc,,,karibu ww shabiki wa Mnyama Simba Sports Club.unaitwa nani na unataka nini kwetu sisi yanga ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Insha Allah.Apumzike kwa amani Marin!
Uzi wao umewachachia hapa ndio pumzisho.Naona MINYER...United Mnapiga stori hapa
Minyerooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona MINYER...United Mnapiga stori hapa
[emoji87] [emoji1] [emoji106]Minyerooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani waliopo sasa wanalipwa hayo maembe?Yanga bwana, hela ya kulipa mishahara yenyewe hamna halafu mko busy kujadili usajili.
Hao wachezaji signing fee mtawalipa maembe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, wazee wa kamati
HahahahaYanga bwana, hela ya kulipa mishahara yenyewe hamna halafu mko busy kujadili usajili.
Hao wachezaji signing fee mtawalipa maembe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawakawiagi kuleta masokomoko huko.Hahahaha, wazee wa kamati
Hahahaha ndio maana nakuambiaga Mtani hy timu yenu, mikamati mingi halafu naona haina tija