Kwani Moo yeye hataathirika na Covid 19? Mikia wao hawatakimbiwa na wachezaji? Bilioni 20 zenyewe za kununua mikia bado hajaitoa
Mnyero Fc watulie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu. Naona hajaongelea suala la 10% nalo inabidi tuache, japo hili hata mikiani huwa wanafanyaYANGA YATAKIWA KUTUMIA MAWAKALA WAZOEFU KUFANYA USAJILI
Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga Hans van Pluijm amesema utaratibu mbovu wa usajili ndio sababu inayopelekea mabingwa hao wa kihistoria wasajili wachezaji wenye viwango vya kawaida.
Pluijm ambaye aliisaidia Yanga kutwaa mataji mawili mfululizo ya ligi kuu misimu ya 2014-15 na 2015-16, amesema ili kupata wachezaji wazuri sokoni, Yanga inapaswa kurudi kwenye utaratibu wa kutumia Mawakala wazoefu.
Pluijm aliyewahi kupita vilabu vya Singida United na Azam Fc, amewataka mabosi wake hao wa zamani kuacha kusajili wachezaji kwa kutumia taarifa za mitandaoni kwani mara nyingi taarifa hizo hasa video zinazowekwa Youtube kuwahusu wachezaji hao ni zile ambazo wameonekana kufanya vizuri "Nimeifuatilia Yanga na nimegundua wanakosea kwenye usajili, kwani wanasajili wachezaji kutoka nje wa kiwango cha chini na kushindwa kuonesha ushindani, lakini hawajachelewa, kama wanahitaji wachezaji wazuri wanatakiwa kutumia mawakala wazoefu," amesema.
Pluijm alisema kama Yanga wanahitaji kuchukua ubingwa unaoshikiliwa na watani wao Simba, wanatakiwa kuacha kusajili wachezaji kimazoea kama miaka iliyopita, kwani mambo yamebadilika na ikiwa wanahitaji mchezaji mzuri lazima wakubali kupita njia sahihi kwa kutumia Mawakala "Unajua siku za hivi karibuni kumeibuka mazoea watu kusajili wachezaji kupitia mitandao, lakini wengi wao wamekuwa wakidanganya na mwisho unapata mchezaji anayekuja kukalia benchi badala ya kuwa msaada kwenye timu".
Pluijm ni mmoja wa makocha ambao wameacha historia nzuri kunako klabu ya Yanga katika muda ambao aliinoa timu hiyo.
@Yangafulldozz.
kidunula1 na Chikwuemeka naona kama Pluijm yuko sahihi.
Kwani na sisi tulizidi kusajili wachezaji ilimradi tu mwishowe wakawa watazamaji tu huku wanakula mshahara wetu pasi kuisaidia timu.
Ha ha ha ha Yirpe huyo!?Ni ukweli huo Mtani inabidi tubadilike sababu Timu kubwa kama Yanga kujaza magarasa haifai aisee.
Niliona sehemu anasema kwa sasa anajifua kwa nguvu zote na mpaka Corona ikiisha tutamsahau kwani atakuja kivingine kabisa. [emoji23][emoji23]
Inabidi ifikie hatua yasiwepo hayo mambo. Mana hii nayo ndio chanzo cha timu kujaa magarasa.
🤣🤣🤣 Hapa lazima aombee ugonjwa usiishe.Labda kwa sababu Mo katengeneza Sanitizers na kuziuza ktk janga hili la Corona. Kwa maana nyingine kama Mo amechukulia Corona ni fursa basi hawezi omba ugonjwa huu uondoke mapema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Engekuwa amri yangu,ningewakabidhi GSM kila kitu wasimamie ili kuondoa ujanja ujanjaInabidi ifikie hatua yasiwepo hayo mambo. Mana hii nayo ndio chanzo cha timu kujaa magarasa.
Ndio niliona hiyo habari sehemu tena na kavideo anachojifua juu halafu sijui ikawaje sikuileta huku. 😀
Hii ilishakuwa jipu. Japo nadhani tuwe na subira tu mabadiliko yakishaingia Yanga basi hapo ndio itakuwa mwisho wa hii kitu.Yaani hapo kasahau tu kitu kingine kikubwa cha wale kamati ya usajili kupambania 10%. Ila tukitumia mawakala wazoefu kweli huko mbele hatutokuwa na kina Yirpe + Molinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee!! Ilinikomesha jana Mtani mana mpaka nafika home 17 na kitu huko. 😅Sawa Mtani na nyie mtoke uko mliko..
Naona mvua nayo haitaki kutuacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii!! Hapo itakuwa changamoto aisee.Wizara ya michezo imepanga kuanzia msimu ujao timu zote za ligi kuu Tz bara kuwa na wachezaji Wa kigeni wasiozidi watano tu. Ikiwa hivyo mi naona tutapaswa kuwatema Molinga, Eric Kabamba, Sibomana na Yirpe fasta. Kasheshe itabaki hapa sasa; Shikalo,Lamine,Haruna, Tshishimbi, Morrison. Nani achomolewe ili aletwe Mshambuliaji matata ili timu iwe na idadi ya wachezaji watano Wa kigeni!? Mana piga ua garagaza ni lazima atafutwe mshambuliaji Wa kati japo na winga matata namba 7 nae anahitajika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubirie hayo mabadiliko nadhani ndio yataamua kila kitu.Engekuwa amri yangu,ningewakabidhi GSM kila kitu wasimamie ili kuondoa ujanja ujanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi walivyolielezea ni Amri tayari. Ila kwa kuwa timu hizi kubwa hasa ya wananchi zina nguvu sana basi naamini itafika sehemu utaratibu utapindishwa!Uwiii!! Hapo itakuwa changamoto aisee.
Wameshapitisha tayari au ni wazo wameliwasilisha?
Ha ha haNdio niliona hiyo habari sehemu tena na kavideo anachojifua juu halafu sijui ikawaje sikuileta huku. [emoji3]
Hahah... pole sana Mtani ila nilikwambia mie tuanze kutokaAiseee!! Ilinikomesha jana Mtani mana mpaka nafika home 17 na kitu huko. [emoji28]
Hapo kweli kazi itakuwepo ila watoeni wote watani zangu ila Lamine Moro na Morisson msiwaguse ni habari nyingine hao jamaa!!Uwiii!! Hapo itakuwa changamoto aisee.
Wameshapitisha tayari au ni wazo wameliwasilisha?