Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tunashukuru kwa taarifa!!

The only thing to fear is fear itself
 
Hahahaaaa!! Msg sent Mtani. [emoji126][emoji126][emoji126]
Tutafanyaje Sasa na Tupo kwenye himaya yenu!??nyie tupeni tu taarifa[emoji23][emoji23]

The only thing to fear is fear itself
 
Nadhani wanaona na kuyasikia haya mapungufu na hawana budi kuyatafutia ufumbuzi mana kama App yangu tangia jana inaanza fresh tu kwamba karibu kwenye App Rasmi ya Yanga kisha naishia kuambiwa lipia hapa halafu inabaki tu kuload.
Duuu IT Technicians wetu watakuwa wana shida mahali Fulani ila naamini wanahangaika kuliweka sawa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila GSM hata hiyo App msingeipata ........Nakukumbuka tu ligi itarejea muda sio mrefu hahahahahahahahah kila mtu atavuna alichopanda.
Haijalishi Mtani Potelea pweteee wacha GSM atuue. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama mimi aisee. Huwa nawakumbuka sana tambo zenu. Lol. Ligi ianze hebu.

Natamani watupange na nyie Quarter final kwenye Kombe la FA tupate kuwanyoosha tena. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…