Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Refa ndio mwamuzi wa mwisho. Yaani asione offside refa, line one au two ambao wapo palepale kweye eneo la tukio mje muone nyie majukwaani au kwenye TV!? Umeona wapi hiyo dunia nzima!!!!!Halafu eti wanajisifia wametuacha mbali lol.
Mechi kibao magoli ya Offside. ππ
Ama kweli biashara asubuhi jioni mahesabu. Wamewahi mapema wakaandaa kitita cha kutosha wamekusanya maponti harakaharaka eti sahzi wanashusha pumzi kwa kutuambia sasa hivi tujiandae vema mana hakutakuwa na malalamiko ha ha ha ha!Halafu eti wanajisifia wametuacha mbali lol.
Mechi kibao magoli ya Offside. [emoji41][emoji41]
Waambie hao.
Wananchi bana, wao ni soka la malalamiko, soka la mezani, soka la kwenye makaratasiπ€£π€£π€£Ama kweli biashara asubuhi jioni mahesabu. Wamewahi mapema wakaandaa kitita cha kutosha wamekusanya maponti harakaharaka eti sahzi wanashusha pumzi kwa kutuambia sasa hivi tujiandae vema mana hakutakuwa na malalamiko ha ha ha ha!
Ha ha ha ha! Au cha golfTena wakizubaa zubaa anakigeuza cha ragby. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watani zetu tukisema Yanga ni Timu ya Wananchi mjue hadi na nyie mumo na ndio sababu habari kama hizi ambazo nyingi zinaletwa kuturudisha nyuma mnazifahamu kuliko sisi wenyewe.wasisahau kulipa na madeni ya Pondamali na Chirwa huku mengine yanakuja
Nnachowakubali Yanga ni ile kua na roho ngumu. Kwao hata kama jahazi linazama wana mikwara hao utafikiri wanachukua ubingwa wa Afrikaπ€£π€£π€£Watani zetu tukisema Yanga ni Timu ya Wananchi mjue hadi na nyie mumo na ndio sababu habari kama hizi ambazo nyingi zinaletwa kuturudisha nyuma mnazifahamu kuliko sisi wenyewe.
Karibu Yanga. ππ
Daaa ila kiukweli ndugu kuna kipindi mlifululiza kushinda kiajabu ajabu hadi nikawachukia viongozi na kujiuliza mbona hawachukui hatua au kutoa tamko!? Halafu mbaya zaidi timu pinzani zilikuwa zinakandamizwa.Wananchi bana, wao ni soka la malalamiko, soka la mezani, soka la kwenye makaratasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hawafanyi kazi zao inavyopaswa kwa nini tusiwalalamikie.Ndio mnavojidanganya!? Kwanini mnaependa kuwalalamikia sana waamuzi? Hizo ni dalili za uwoga ujue Shadeeya
ππππ Alijua kuwakera sana aisee." What a diving header! Aishi unataka kwenda wapi, Aishi roho yako ni muhimu hapo"! Mpenja alimsihi sana mkia Wa golini aisee
Ndugu yangu Kidunula1 miongoni mwa sifa na dalili ya bingwa wa msimu huo ni kupambana na pia "BAHATI". Hata vitani wakati mwingine unaweza kua na jeshi bora kabisa lakini unahitaji pia bahati. Wahenga walisema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi". Kama kuna faulo refa hakuiona ujue na yeye ni mwanadamu. Unaona pale England watu wanasema Liverpool kuna mechi imebebwa na waamuzi!!!Daaa ila kiukweli ndugu kuna kipindi mlifululiza kushinda kiajabu ajabu hadi nikawachukia viongozi na kujiuliza mbona hawachukui hatua au kutoa tamko!? Halafu mbaya zaidi timu pinzani zilikuwa zinakandamizwa.
Nyie kwenu mkishinda ndio mmetendewa haki! Haipo hivyo mamiiKama hawafanyi kazi zao inavyopaswa kwa nini tusiwalalamikie.
Wafuate sheria 17 waone kama tutawalalamikia.
Refa ndio mwamuzi wa mwisho. Yaani asione offside refa, line one au two ambao wapo palepale kweye eneo la tukio mje muone nyie majukwaani au kwenye TV!? Umeona wapi hiyo dunia nzima!!!!!
Ila tuwaambie tu yana mwisho haya.Ama kweli biashara asubuhi jioni mahesabu. Wamewahi mapema wakaandaa kitita cha kutosha wamekusanya maponti harakaharaka eti sahzi wanashusha pumzi kwa kutuambia sasa hivi tujiandae vema mana hakutakuwa na malalamiko ha ha ha ha!
Ha ha ha japo na huko uingereza kwenyewe watu wamelalamika sana hadi ikafikia wakaanza kuiita Liverpool VAR FC! Wengine wakasema katika usajili Mkubwa waliofanya Liverpool msimu huu ni usajili Wa mchezaji VAR ha ha ha.Ndugu yangu Kidunula1 miongoni mwa sifa na dalili ya bingwa wa msimu huo ni kupambana na pia "BAHATI". Hata vitani wakati mwingine unaweza kua na jeshi bora kabisa lakini unahitaji pia bahati. Wahenga walisema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi". Kama kuna faulo refa hakuiona ujue na yeye ni mwanadamu. Unaona pale England watu wanasema Liverpool kuna mechi imebebwa na waamuzi!!!
Sasa kwa wenzetu unaamini kuna kitu kama hicho kwamba refa aanaingia kuchezesha ili aibebe timu fulani? Hiyo ndio bahati mkuu
Usiwe na shaka Shadeeya, kama ilivyo kwa Liverpool, VAR itakuja na ubingwa tutachukua.Kabla sijakujibu ulichoandika Ses hebu niambie nini sababu ya kuletwa mashine za VAR inamana hawakujua kama kuna waamuzi na washika vibendera?
Wale vijana wana nia mbaya na manula,hata lile la morrison hadi manula mwenyewe alisema alitaka kumpigia makofi morrisonKuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" πππ
Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Mwisho wake upo karibu,labda waturoge tuparaganyikeIla tuwaambie tu yana mwisho haya.
Ndio hayo ninayosema tutachukua ubingwa mbele hizo VAR mnazozitaka zije kisha mtazusha jingineHa ha ha japo na huko uingereza kwenyewe watu wamelalamika sana hadi ikafikia wakaanza kuiita Liverpool VAR FC! Wengine wakasema katika usajili Mkubwa waliofanya Liverpool msimu huu ni usajili Wa mchezaji VAR ha ha ha.