Ndugu yangu Kidunula1 miongoni mwa sifa na dalili ya bingwa wa msimu huo ni kupambana na pia "BAHATI". Hata vitani wakati mwingine unaweza kua na jeshi bora kabisa lakini unahitaji pia bahati. Wahenga walisema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi". Kama kuna faulo refa hakuiona ujue na yeye ni mwanadamu. Unaona pale England watu wanasema Liverpool kuna mechi imebebwa na waamuzi!!!
Sasa kwa wenzetu unaamini kuna kitu kama hicho kwamba refa aanaingia kuchezesha ili aibebe timu fulani? Hiyo ndio bahati mkuu