Alisema makocha wote waliomfundisha walimwambia akitokea mchezaji akapiga faulo ya vile achukue mpira aupeleke kati kisha ampigie makofi. Japo aliogopa kumpigia makofi Morrison mana angepigwa makofiWale vijana wana nia mbaya na manula,hata lile la morrison hadi manula mwenyewe alisema alitaka kumpigia makofi morrison
We waache tu wafurahie Kiwanja kisicho na majukwaa. Teh teh.Ha ha ha ha! Au cha golf
Hivi msimu huu Yanga imewahi kuongoza ligi hata kwa muda mchache tu?Kuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" πππ
Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Hahah yani nyie mpaka kesho furaha yenu ya ushindi haijaisha tu..na wachezaji wenu wa kuokoteza..ila safari hii mmebahatisha kuyapata angalauMwingine huyu hapa kakaView attachment 1460590
π π πWale vijana wana nia mbaya na manula,hata lile la morrison hadi manula mwenyewe alisema alitaka kumpigia makofi morrison
Kabisaaa.Mwisho wake upo karibu,labda waturoge tuparaganyike
Naona leo unatamba sana humu..nashindwa nikujibu ipi niache ipi[emoji3][emoji3]Kuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" [emoji23][emoji23][emoji23]
Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Tuonyesheni chenu chenye majukwaaWe waache tu wafurahie Kiwanja kisicho na majukwaa. Teh teh.
Unadhani tunakataa lengo mchukue kihalali tu.Ndio hayo ninayosema tutachukua ubingwa mbele hizo VAR mnazozitaka zije kisha mtazusha jingine
Sikuipataga hii audio aisee. πππAlisema makocha wote waliomfundisha walimwambia akitokea mchezaji akapiga faulo ya vile achukue mpira aupeleke kati kisha ampigie makofi. Japo aliogopa kumpigia makofi Morrison mana angepigwa makofi
Aiseee!! Hadi ropo ropo wao kashindwa kujizuia. Lol.Huyu Haji Manara ana wivu sana. Hapendagi kuona mtu mwingine kutoka simba anawasifu wachezaji Wa Yanga, Bali yeye tu ndo afanye hivyo. Hiki hiki alikifanya Aishi Manula Haji alikja juu sana hadi akawabatiza Simba jina "Mnyero United" lakini yeye amefanya hivyohivyo na hatotaka mtu amkosoe.
View attachment 1461320
Tarehe 08 March 2020 Dar Yanga iliinyamazisha nchi-Morrison.Alisema makocha wote waliomfundisha walimwambia akitokea mchezaji akapiga faulo ya vile achukue mpira aupeleke kati kisha ampigie makofi. Japo aliogopa kumpigia makofi Morrison mana angepigwa makofi
Unajifanya umeshazisahau njama za Tiiiefuefuu eee.Hivi msimu huu Yanga imewahi kuongoza ligi hata kwa muda mchache tu?
Yeees!! Na tarehe 08.06.2020 linatimiza miezi mitatu. ππππHahah yani nyie mpaka kesho furaha yenu ya ushindi haijaisha tu..na wachezaji wenu wa kuokoteza..ila safari hii mmebahatisha kuyapata angalau
Tunakataaje kwa mfano (In wasi wasi voice) πππHahah yani nyie tangu mshinde ile mechi mmeshaona dunia yote yenu
ππππNaona leo unatamba sana humu..nashindwa nikujibu ipi niache ipi[emoji3][emoji3]
Kutesa kwa zamu naelewa,ila dawa ipo jikoniTunakataaje kwa mfano (In wasi wasi voice) [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisaaa.
Dah wewe kuna muda sikuwezi aisee!!mfano leo upo moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi inaanza june 01 Mtani lazima tuamshe amshe.