Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wale vijana wana nia mbaya na manula,hata lile la morrison hadi manula mwenyewe alisema alitaka kumpigia makofi morrison
Alisema makocha wote waliomfundisha walimwambia akitokea mchezaji akapiga faulo ya vile achukue mpira aupeleke kati kisha ampigie makofi. Japo aliogopa kumpigia makofi Morrison mana angepigwa makofi
 
Huyu Haji Manara ana wivu sana. Hapendagi kuona mtu mwingine kutoka simba anawasifu wachezaji Wa Yanga, Bali yeye tu ndo afanye hivyo. Hiki hiki alikifanya Aishi Manula Haji alikja juu sana hadi akawabatiza Simba jina "Mnyero United" lakini yeye amefanya hivyohivyo na hatotaka mtu amkosoe.
 
Kuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" 😂😂😂

Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Hivi msimu huu Yanga imewahi kuongoza ligi hata kwa muda mchache tu?
 
Kuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" [emoji23][emoji23][emoji23]

Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Naona leo unatamba sana humu..nashindwa nikujibu ipi niache ipi[emoji3][emoji3]
 
Huyu Haji Manara ana wivu sana. Hapendagi kuona mtu mwingine kutoka simba anawasifu wachezaji Wa Yanga, Bali yeye tu ndo afanye hivyo. Hiki hiki alikifanya Aishi Manula Haji alikja juu sana hadi akawabatiza Simba jina "Mnyero United" lakini yeye amefanya hivyohivyo na hatotaka mtu amkosoe.
View attachment 1461320
Aiseee!! Hadi ropo ropo wao kashindwa kujizuia. Lol.

Hahah yani nyie mpaka kesho furaha yenu ya ushindi haijaisha tu..na wachezaji wenu wa kuokoteza..ila safari hii mmebahatisha kuyapata angalau
Yeees!! Na tarehe 08.06.2020 linatimiza miezi mitatu. 💃💃💃💃
 
Back
Top Bottom