Leo nimekupa nishani ya heshima kituo cha Pili[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona hivyo ujue sina mishe za kuniweka busy leo Mtani. [emoji23]
Hahahaaaa. Lol.Leo nimekupa nishani ya heshima kituo cha Pili[emoji23][emoji23][emoji23]
Si nilikwambia wewe ndio app yangu naona nafasi unaimudu vyema
Hapo hata maji huwa hayawashuki shingoni kwa jinsi walivyo na gubu ha ha ha haView attachment 1461492
KARIBUNI JUMAMOSI TUTAKUWA NA JAMBO LETU PALE SERENA HOTEL. [emoji41]
Huyo mwingine ni Ally Ally siyo?
Daaa natumai muda si mrefu mambo yatakuwa sawaMlinda lango wa Yanga Farouk Shikhalo huenda akachelewa kujiunga na wenzake kutokana na Serikali ya Kenya kuwa bado imefunga mipaka kutokana na janga la corona.
Wachezaji wa Yanga walifanyiwa vipimo vya Afya juzi na jana kuanza mazoezi huku nyota huyo akikosekana sambamba na kocha mkuu Luc Eymael ambaye hata hivyo anaweza kuwasili wiki ijayo.
Uongozi wa Yanga umesema unafuatilia taratibu za kumrejesha nchini mlinda lango huyo.
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema pamoja na kuwa suala lake liko nje ya uwezo wao, wanapambana kuhakikisha anarejea nchini kwa wakati ili aungane na wenzake
"Suala la Shikalo lipo nje ya uwezo wetu, ila tunapambana kuhakikisha mchezaji huyo anarejea kwa wakati na kuwahi kabla ya ligi haijaanza rasmi," amesema Mwakalebela
Kwa sasa Yanga itamtegemea mlinda lango mmoja Metacha Mnata huku wakimsubiri Ramadhani Kabwili ambaye hivi karibuni alishonwa nyuzi nane baada ya kupata ajali ya pikipiki.
Ha ha haLeo kazi ipo huyu Shadeeya leo ametumwa na timu yake kuitafutia udhamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee pole sana kwa mshtuko Shadeeya.Nimeshtuka. Lol.
Nani alikuteka eti Mtani?
Simba inapiga mpira mkubwa haiitaji kununua wala kuhonga ili kupata ushindi, level za Simba ni za Duniani huko siyo huku porini walipo Yanga🐸.Wacha weee.
Hapo mlishajiokotea points za kununua halafu eti leo ndio unasema hutaki makando kando na malalamiko. Lol
Shadeeya kumbe ulishaanza kunenepeana hovyo😜 kwa kujifariji na vigoli uchwara, subiri Mnyama Simba aje kufanya yake kwa kutwaa Ligi kuu na FA hakika mwili wako utarudi kwenye hali yake ya kawaida.😜Kuna lile goli la pili la Banka hadi mtangazaji akamwambia "aishi manula roho yako muhimu aishi" 😂😂😂
Alijua kabisa magoli ya Timu ya Wananchi yanaeza kuua mtu.
Aisee wewe Shadeeya acha mambo yako bwana, hivi wale waganga waliokaa golini kwenye dabi ya marudiano mlishawalipa pesa zao? Maana pale yangetokea maafa ila hayo mambo myaache yanamiaibisha sana.🐸Yah!! Na kama mechi zile mbili za watani wa jadi alikuwa mwiba kwani beki za simba zilipata sana tabu.
Na kama sio janja janja ile mechi ya raundi ya kwanza yule mama alimnyima penalti ya wazi kabisa.
Amakweli Masikini akipata" What a diving header! Aishi unataka kwenda wapi, Aishi roho yako ni muhimu hapo"! Mpenja alimsihi sana mkia Wa golini aisee
Back2Back10Ama kweli biashara asubuhi jioni mahesabu. Wamewahi mapema wakaandaa kitita cha kutosha wamekusanya maponti harakaharaka eti sahzi wanashusha pumzi kwa kutuambia sasa hivi tujiandae vema mana hakutakuwa na malalamiko ha ha ha ha!
Sijui kama watakuelewa hawa haswa huyu Shadeeya.Ndugu yangu Kidunula1 miongoni mwa sifa na dalili ya bingwa wa msimu huo ni kupambana na pia "BAHATI". Hata vitani wakati mwingine unaweza kua na jeshi bora kabisa lakini unahitaji pia bahati. Wahenga walisema "bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi". Kama kuna faulo refa hakuiona ujue na yeye ni mwanadamu. Unaona pale England watu wanasema Liverpool kuna mechi imebebwa na waamuzi!!!
Sasa kwa wenzetu unaamini kuna kitu kama hicho kwamba refa aanaingia kuchezesha ili aibebe timu fulani? Hiyo ndio bahati mkuu
Ni kweli Mkuu hawa watu kwa sasa hawako sawa tuwavumilie tu, unajua hakuna kipindi kigumu kama hiki kwa mashabiki wa Yanga ligi haijakwisha lakini tayari Bingwa wanamjua.Hata mimi nina shaka kama kweli watanielewa, haswa huyo Shadeeya ndio kabisaaa!!!🤣🤣🤣
Wao kwao ligi ni mechi na Simba tu kama ambavyo mchezaji kwao ni Morison tu!Ni kweli Mkuu hawa watu kwa sasa hawako sawa tuwavumilie tu, unajua hakuna kipindi kigumu kama hiki kwa mashabiki wa Yanga ligi haijakwisha lakini tayari Bingwa wanamjua.
Hapa Shadeeya atapinga japo ndio ukweli anaoufahamu.
Walidhani watapewa wao ubingwa, tena ubingwa wa mezani kwq sababu kuna waandishi wa habari wali manazi wa Chura FC wanawavimbisha kichwa eti wanawaita "mabingwa wa kihistoria" ukiuliza maana yake nini wanasema Yanga ilichukuaga ubingwa mwaka 47!!!🤣🤣🤣Mlikuwa mnapiga kelele eti ligi ifutwe halafu ili iweje sasa.