Moja ya mambo ni kuingia makubaliano ya wao La liga kuwa washauri wetu wakuu juu ya mambo ya kitaalamu ktk kutengeneza mfumo mpya Wa uendeshaji Wa klabu kisasa Na pia kushirikiana nao katika mambo mbalimbali kwenye mchezo Wa mpira Wa miguu.Mwenye kufahamu huu mkataba na La Liga Yanga tunasaini unahusu nini atufahamishe.
Kitakuwa kimewekwa Na TFF mahususi kwa ajili ya msimu huu!Hebuni hukoo.
Wapi kwenye sheria 17 za mpira kuna kipengele kinachozungumzia "BAHATI" ?
Unataka wenzako waache mashindano watokomee gizani kusikojulikana!?HEBU WAPANGE RATIBA TUJUE SISI NA WAO NI LINI. [emoji41]
Moja ya mambo ni kuingia makubaliano ya wao La liga kuwa washauri wetu wakuu juu ya mambo ya kitaalamu ktk kutengeneza mfumo mpya Wa uendeshaji Wa klabu kisasa Na pia kushirikiana nao katika mambo mbalimbali kwenye mchezo Wa mpira Wa miguu.
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Duniani
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unapenda weweee!!!HEBU WAPANGE RATIBA TUJUE SISI NA WAO NI LINI. [emoji41]
Muache kujifananisha na MnyamaNaona TFF inawatengenezea mazingira ya kucheza kucheza final ya FA waziwazi sasa.
Mkuu unaweza kutuambia kwa uchache yaliyomo humo ndani ya mkataba ?Azam sports2 kuna jambo letu hukoView attachment 1464848
Saasaaa Mtani ndio tuseme unamuhofia Azam ama?Naona TFF inawatengenezea mazingira ya kucheza kucheza final ya FA waziwazi sasa.
Wamepangwa na Azam sasa. π πUnataka wenzako waache mashindano watokomee gizani kusikojulikana!?
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Sijabahatika kupata copy,Ila napambana nipate abc nitazileta hapaMkuu unaweza kutuambia kwa uchache yaliyomo humo ndani ya mkataba ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina copies za hayo makubaliano sasa sijui ni zenyewe au vipiSijabahatika kupata copy,Ila napambana nipate abc nitazileta hapa
Tuwekee mkuu,japo kuna wajanja janja wanaleta za uongoNina copies za hayo makubaliano sasa sijui ni zenyewe au vipi
Huu nilionao sidhani km ni wenyewe , nahofia kusambaza kitu sicho ndio tatizoTuwekee mkuu,japo kuna wajanja janja wanaleta za uongo
Tutaupata tu wenyeweHuu nilionao sidhani km ni wenyewe , nahofia kusambaza kitu sicho ndio tatizo