kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Moja ya mambo ni kuingia makubaliano ya wao La liga kuwa washauri wetu wakuu juu ya mambo ya kitaalamu ktk kutengeneza mfumo mpya Wa uendeshaji Wa klabu kisasa Na pia kushirikiana nao katika mambo mbalimbali kwenye mchezo Wa mpira Wa miguu.Mwenye kufahamu huu mkataba na La Liga Yanga tunasaini unahusu nini atufahamishe.
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app