Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mwenye kufahamu huu mkataba na La Liga Yanga tunasaini unahusu nini atufahamishe.
Moja ya mambo ni kuingia makubaliano ya wao La liga kuwa washauri wetu wakuu juu ya mambo ya kitaalamu ktk kutengeneza mfumo mpya Wa uendeshaji Wa klabu kisasa Na pia kushirikiana nao katika mambo mbalimbali kwenye mchezo Wa mpira Wa miguu.

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Shukrani
 
Naona TFF inawatengenezea mazingira ya kucheza kucheza final ya FA waziwazi sasa.
Muache kujifananisha na Mnyama
Screenshot_2020-05-30-20-16-55.jpg
Screenshot_2020-05-30-20-17-21.jpg
 
Back
Top Bottom