Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wanachama na mashabiki wa Yanga SC Kibaigwa Dodoma wakiwasalimu wachezaji na viongozi wa timu hiyo ikiwa njiani kwenda Shinyanga kuikabili Mwadui FC Juni 13 mwaka huu.
FB_IMG_1591788645135.jpg
FB_IMG_1591788635478.jpg
 
20200610_161122.jpg
LUC EYMAEL AMEINGIA NCHINI

Mbabe wao kocha mkuu wa Yanga LUC EYMAEL tayari ameshawasili nchini Tanzania kuja kuendelea na majukumu yake kesho ataelekea Shinyanga kuungana na kikosi chake cha Young Africans tayari kwa mapambano ya kumaliza ligi kibabe huku kukiwa na mpango mkakati wa kuhakikisha Yanga inachukua kombe la FA na mambo mengine yaendelee

Welcome Tanzania LUC EYMAEL

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Back
Top Bottom