Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hata utembee juu ya mpira mwisho wa siku kipimo cha timu bora ni ushindi😂😂😂Niulize Mtani kwani kipimo kinapimwa na ushindi pekee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata utembee juu ya mpira mwisho wa siku kipimo cha timu bora ni ushindi😂😂😂Niulize Mtani kwani kipimo kinapimwa na ushindi pekee?
Hakika Mtani.
Kuumbe!! Hivyo ubora wetu ni dhahiri munaufahamu. 😎Hata utembee juu ya mpira mwisho wa siku kipimo cha timu bora ni ushindi😂😂😂
[emoji28][emoji28][emoji28]
Ubora upi Shadeeya? Wa kupigwa thalatha na KMC?😂Kuumbe!! Hivyo ubora wetu ni dhahiri munaufahamu. 😎
Na hata hii Corona nayo imeondoa msisimko kabisa aisee.Ligi sa ivi haina mvuto kwakuwa bingwa ashajulikana ni Simba Sport Club
Naona unageuza maneno hapa. LolUbora upi Shadeeya? Wa kupigwa thalatha na KMC?😂
Na kwako pia Mtani. Ila usiadimikage namna hiyo aiseee.
Haya, Mungu anisaidie Kama unavyoomba[emoji120][emoji120][emoji120]Na kwako pia Mtani. Ila usiadimikage namna hiyo aiseee.
Ndio ukweli wenyewe mamiiNaona unageuza maneno hapa. Lol
Hahahaaa. Lol.
Na hata hii Corona nayo imeondoa msisimko kabisa aisee.
Mmmh. Hivyo mshajihakikishia ubingwa lol.
Sijui kama huyo Shadeeya atatoa jibu, sio kama hajui basi tu hataki kumtambua Bingwa🤣🤣🤣Aya nambie wewe bingwa ni nani[emoji16]
Aaaa Shadeeya yule si ni top scorer wetu sasa kwa nini tunamtenga.Hahahaaa. Lol.
Asitake kutuchanganya naye yule kibonge. 😔😔
Bingwa atajulikana msimu ukiisha au ukikaribia na si sasa. 😎Aya nambie wewe bingwa ni nani[emoji16]
Hahaha kufa kufaana.