Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nafikiri ni mindset ya kwamba hata ligi ikirudi hakuna wanachopambania.

Otherwise ni kutokuwa professional, "lack of professionalism".
Duuh!! Sidhani kama hii ni sababu mtani mana hii kwao ni ajira na ikitokea unanenepa namna hiyo ujue uko mbioni kuikosa mana hamna mtu anaeza sajili mtu ana kilo ambazo hawezi kuzimudu.

Nilishangaa hadi Makame ana kitambi aisee. 😔😔
 
Unahisi tatizo ni nini?
 
Ft
Simba sc 3

KMC 1
Shadeeya
Tatizo mbumbumbu fc uelewa wenu mdogo sana kama msemaji wenu.
Mnashindwa kutofautisha mechi za mazoezi na mechi za kirafiki.
Mlicho cheza ninyi leo asubuhi na hata jioni ni mazoezi si mechi ya kirafiki.
Tofauti na mechi ya jana ya Yanga.

Hapo ni sawa na kocha kupanga kikosi A na kikosi B halafu ujisifu
 
Mbona kama umepaniki hivi Mimi nimewaletea matokeo ya mechi ya Simba vs kmc sasa wewe na kiherehere chako kama chupi ya mke wa Balozi una washwa nini hata kama ni mechi ya mazoezi tungefungwa je ungesema haya uliyosema.
 
Mbona una hasira kama una mimba changa? Kwani we kilichokuwasha ni kitu gani ukaleta matokeo huku!!!?
 
Waliosimama toka kulia ni Ephrahim Makoye,Ally Mayay Tembele,BM Jembe ulaya,Manyika Peter,Shaban Ramadhan,Said Magoli Mwamba Kizota waliokaa kutoka kushoto ni Edibily Jonas Lunyamila,Eustace Bajwala,Banza Tshikala,Sekilojo Jackson Chambua na Nahodha Fred Mbuna
FB_IMG_1591733425589.jpg
 
View attachment 1473663
Uongo dhambi, kwa kikosi hiki wakati huo Chura FC kweli ilikua tishio, sio hawa vibonge wa sasa. Yaani utadhani maveterani wamekutana kwenye bonanza la jumamosi ili wakimalize wakanywe supu na bia😂😂😂
 
Kikawaida kawaida Mtani unadhani matokeo yangekuwaje hapo? Kuwa mkweli tu.

Sababu alishamfunga Yanga mmefanya juu chini mkacheza nao ilimradi tu. Lol
Shadeeya wewe kukubali kua Lunyasi ni level nyingine na kwamba soka lao ni la hali ya juu sana wahisi kama unatolewa roho vile😂😂😂
 
Back
Top Bottom