Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Sisi tunajitangaza pale kwenye pitch Shadeeya, pale kwenye kutandaza soka kama watu qanacheza draft, soka la butudani nyiiingi, soka la ubingwa, soka na kiufundi. Zile mbwembwe za sijui La Liga kwenye makaratasi wenzenu sisi kama kuiga tumeiga pale uwanjani jinsi ya kuupiga mpita mwingi saaanaSasa na nyie si mjitangaze nini kinawashinda sa? 😎😎😎