Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wino upi huo. 🤣🤣🤣 Wamoja bila au?
Walijisemea Wahenga "............... ya kale hayanuki" hiyo imeshakua historia kama vile zile hamsa tulizowapiga mwaka uleeee, si unakumbuka vuzuri eeh Shadeeya?🤪🤪🤪🤪🤪🤪

Hebu tugange yajayo. Tuangalie mechi inayokuja baina yetu. Ndio mtuletee kama hiyo timu ya jana! Mbona tutawafurahisha😀😀😀
 
Uwiiii!! Kwenye hili hamna cha kunidanganya.
 
Wachezaji wengi wameongezeka uzito sema tu ni vile tumetangaza basi mnaona kama ni wachezaji wa Yanga pekee ndio wameongezeka. Lol

Hebu waacheni wachezaji wetu. 😔
Jana Dante katumia masaa 2 kugeuka alipokuwa akimkaba Charles Ilanfya. Charles Ilanfya alidondoka chini wakati anakwenda kufunga mpaka kaamka Dante bado hajageuka na ni beki huyo, aisee kocha wenu ana kazi kubwa sana.

Tipwa Tipwa fc
 
Kiukweli kocha kazi anayo Mtani.
 
Niwe mkweli Mtani hadi na mie nilishangaa ujue yaani mtu anaongezeka kilo 10 ndani ya miezi miwili sijui mitatu si hatari hiyo.

Nadhani ulaji wao ulikuwa mbaya mnoo.

Nafikiri ni mindset ya kwamba hata ligi ikirudi hakuna wanachopambania.

Otherwise ni kutokuwa professional, "lack of professionalism".
 
Back
Top Bottom