Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Labda mjaze maji kwenye mapipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saafi!!! Twendeni tukaijaze shamba la bibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mjaze maji kwenye mapipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saafi!!! Twendeni tukaijaze shamba la bibi
Usihamishe magoli au waliokuwa wanacheza siyo Yanga ?Hahahahaaa. Lol.
Mikia bwana.
KMC bana wanapiga palepale kwenye Mshono.
Nimewapa like. 😎😎😎Yanga tunaumwaga sana kama Barcelona ya xavi na iniesta.
Laliga fcYanga tunaumwaga sana kama Barcelona ya xavi na iniesta.
Sijakuelewa hata mtani. Unamaanisha nini kwani?Usihamishe magoli au waliokuwa wanacheza siyo Yanga ?
Simo [emoji1787][emoji23]Wachezaji wa Yanga wanacheza mpira kama korodani zao zimevimba.
Mmepigwa 3 bilaSijakuelewa hata mtani. Unamaanisha nini kwani?
Tulia hivyo hivyo tukutane Kagera.Kwa hali hii lazima tukonde aisee mana tulishaanza kunenepa.
😂😂😂😂Labda mjaze maji kwenye mapipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachezaji wa Yanga wanacheza mpira kama korodani zao zimevimba.
Kwani nimekataa Mtani. Mechi ya kirafiki ile.Mmepigwa 3 bila
Ujue nina hasira hapa halafu unataka kunichekesha. Lol.Tulia hivyo hivyo tukutane Kagera.
Utopolo 3-0 KmcKwani hujawaona weye? [emoji41][emoji41]
Hahahahahahahahah tutaelewana tu AMAGAMBO NI BUKEBUKE.Ujue nina hasira hapa halafu unataka kunichekesha. Lol.
Usiwaze Mtani. 😀