Hatukatai kuwa ni top score ila nikwambie Mtani ile mechi tunashinda bila yeye.Aaaa Shadeeya yule si ni top scorer wetu sasa kwa nini tunamtenga.
Binafsi sioni wakuziba nafasi yake pale labda kama tumekubali kupoteza dhidi ya Mwadui.πΈπ
Migogoro Fc
Ila yatakwisha Mtani.Hahaha kufa kufaana.
Simba nguvu moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12] kwa hiyo kwasukwasu fc na nyie mnafukukuzia ubingwa[emoji23][emoji23]Bingwa atajulikana msimu ukiisha au ukikaribia na si sasa. [emoji41]
Aiseee muda utasema ila kwa maoni yangu hiyo mechi mking'ata meno basi mtaambulia sare kinyume na hapo ni KICHAPO KITAKATIFUHatukatai kuwa ni top score ila nikwambie Mtani ile mechi tunashinda bila yeye.
Hahahaaa. Kwani mnaufukuzia peke yenu nyie Mnyero Fc?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12] kwa hiyo kwasukwasu fc na nyie mnafukukuzia ubingwa[emoji23][emoji23]
Kisa alikukalisha basi ndio maneno yote haya. Lol.Aiseee muda utasema ila kwa maoni yangu hiyo mechi mking'ata meno basi mtaambulia sare kinyume na hapo ni [SIZE-8] Kichapo kitakatifu.
Sawa kila lakheri Shadeeya siku njema.Kisa alikukalisha basi ndio maneno yote haya. Lol.
Nikazie muda utasema
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23] Utopolo fc, jipangeni labda baada ya miaka mitano mbeleni! Siyo sasaHahahaaa. Kwani mnaufukuzia peke yenu nyie Mnyero Fc?
Poa poa Mtani.Sawa kila lakheri Shadeeya siku njema.
We danganywa tu na huyo ropo ropo wenu Mtani.[emoji23][emoji23][emoji23] Utopolo fc, jipangeni labda baada ya miaka mitano mbeleni! Siyo sasa
Ila mimi naona kama Antonio ndio roporopo zaidi, au Shadeeya unaonaje?π€£We danganywa tu na huyo ropo ropo wenu Mtani.
Hii ndio tafsiri ya Timu ya Wananchi sasa.Wanachama na mashabiki wa Yanga SC Kibaigwa Dodoma wakiwasalimu wachezaji na viongozi wa timu hiyo ikiwa njiani kwenda Shinyanga kuikabili Mwadui FC Juni 13 mwaka huu.View attachment 1474156View attachment 1474157
Bingwa atajulikana msimu ukiisha au ukikaribia na si sasa. [emoji41]
Ukiwa na msimamo huu lazima peponi uingie[emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaHii ndio tafsiri ya Timu ya Wananchi sasa.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Itabidi Mtani japo nimesoma sehemu huyo molinger anasema kaongezeka kilo 02 tu.Hongereni Mtani.
Sasa mpunguze uzito wachezaji wenu.