Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wino upi huo wa miamala au?
Huyo msemaji wenu anawaingiza chaka akiwadanganya eti kuna timu zinahonga na nyingine zinahongwa kwenye ligi ya TPl. Soka la intaneshno kutoka Msimbazi hulionagi kwani Shadeeya au kila Lunyasi ikicheza Tanesco wanawakatia umeme? Itabidi tukawashtaki au unasemaje mamii?🤣🤣🤣
 
Kocha wa @yangasc Luc Eymael akiambatana na straika wao David Molinga, wameondoka Dar es Salaam leo kuelekea Shinyanga kupitia Mwanza kuungana na timu kwa ajili ya mchezo wa kesho wa #VPL dhidi ya Mwadui FC .

Hapa ni 'airport' ya Dar wakiwa wamesindikizwa na Msemaji wa timu Antonio Nugaz

@Azamsport
 
Baadhi ya mambo ya kuzingatia viwanjani wakati wa mechi za ligi zinazoanza rasmi Jumamosi, Juni 13, 2020.
 
Muzee ya ziada ya makilo makumi moya na mbiri(kwa sauti ya Kinshasa🤣)
 
Uzuri wenu mechi za kimataifa mnapulizia ile dawa yenu maarufu.
Mechi za ligi mnatumia muamala.
Bila janja janja ninyi ni wepesi sana
 
Soka la kununua linaonekana tu Ses. Na ndio sababu mkashinda mechi kadhaa kwa magoli ya kupewa ikitoka hapo mnadai eti Mwamuzi naye ni binadamu. Lol
 
Hahahaaa. Hawa tanesco waache hebu. 😂😂😂
 
Tena wepesi kama karatasi.

Hawajiwezi hao.
Shadeeya, wepesi ni kina AS Vita ya DRC wale tuliowachapa hapa taifa wakaanguka kwa kuchoka na sisi tukaingia robo fainali ya CCL, wepesi ni Chura FC ambao kwe mechi za kimataifa wao maranyingi wanakua mdebwedo kabisa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…