Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ligi ianze mapema tuanze kushuhudia mpira mzuri mtani.Nyie danganyweni tu na yule roporopo wenu. [emoji41][emoji41]
Hujawamiss mabingwa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ianze mapema tuanze kushuhudia mpira mzuri mtani.Nyie danganyweni tu na yule roporopo wenu. [emoji41][emoji41]
Wino upi huo wa miamala au?Kwanini tuandikie mate na wino umejaa tele!?
Inaanza kesho Mtani karibu Shinyanga uone kinachomkuta yule mbabe wenu.Ligi ianze mapema tuanze kushuhudia mpira mzuri mtani.
Hujawamiss mabingwa ?
Huyo msemaji wenu anawaingiza chaka akiwadanganya eti kuna timu zinahonga na nyingine zinahongwa kwenye ligi ya TPl. Soka la intaneshno kutoka Msimbazi hulionagi kwani Shadeeya au kila Lunyasi ikicheza Tanesco wanawakatia umeme? Itabidi tukawashtaki au unasemaje mamii?🤣🤣🤣Wino upi huo wa miamala au?
Huko wanacheza vitambi fc hakutakuwa na mpira wa maana mtani.Inaanza kesho Mtani karibu Shinyanga uone kinachomkuta yule mbabe wenu.
Muzee ya ziada ya makilo makumi moya na mbiri(kwa sauti ya Kinshasa🤣)
Uzuri wenu mechi za kimataifa mnapulizia ile dawa yenu maarufu.Huyo msemaji wenu anawaingiza chaka akiwadanganya eti kuna timu zinahonga na nyingine zinahongwa kwenye ligi ya TPl. Soka la intaneshno kutoka Msimbazi hulionagi kwani Shadeeya au kila Lunyasi ikicheza Tanesco wanawakatia umeme? Itabidi tukawashtaki au unasemaje mamii?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soka la kununua linaonekana tu Ses. Na ndio sababu mkashinda mechi kadhaa kwa magoli ya kupewa ikitoka hapo mnadai eti Mwamuzi naye ni binadamu. LolHuyo msemaji wenu anawaingiza chaka akiwadanganya eti kuna timu zinahonga na nyingine zinahongwa kwenye ligi ya TPl. Soka la intaneshno kutoka Msimbazi hulionagi kwani Shadeeya au kila Lunyasi ikicheza Tanesco wanawakatia umeme? Itabidi tukawashtaki au unasemaje mamii?🤣🤣🤣
Hahahaaa. Hawa tanesco waache hebu. 😂😂😂Huyo msemaji wenu anawaingiza chaka akiwadanganya eti kuna timu zinahonga na nyingine zinahongwa kwenye ligi ya TPl. Soka la intaneshno kutoka Msimbazi hulionagi kwani Shadeeya au kila Lunyasi ikicheza Tanesco wanawakatia umeme? Itabidi tukawashtaki au unasemaje mamii?🤣🤣🤣
Muacheni. 💃Muzee ya ziada ya makilo makumi moya na mbiri(kwa sauti ya Kinshasa🤣)
Tena wepesi kama karatasi. Hawajiwezi hao bila janjja janjja.Uzuri wenu mechi za kimataifa mnapulizia ile dawa yenu maarufu.
Mechi za ligi mnatumia muamala.
Bila janja janja ninyi ni wepesi sana
Shadeeya, wepesi ni kina AS Vita ya DRC wale tuliowachapa hapa taifa wakaanguka kwa kuchoka na sisi tukaingia robo fainali ya CCL, wepesi ni Chura FC ambao kwe mechi za kimataifa wao maranyingi wanakua mdebwedo kabisa🤣🤣🤣Tena wepesi kama karatasi.
Hawajiwezi hao.
Ikawaje ukawa msimu ule tu sasa? Au hamjashiriki Kimataifa tokea hapo?Shadeeya, wepesi ni kina AS Vita ya DRC wale tuliowachapa hapa taifa wakaanguka kwa kuchoka na sisi tukaingia robo fainali ya CCL, wepesi ni Chura FC ambao kwe mechi za kimataifa wao maranyingi wanakua mdebwedo kabisa🤣🤣🤣
Kila wakisogeza pua wanakula "khamsa"Tena wepesi kama karatasi. Hawajiwezi hao bila janjja janjja.
Na ndio sababu waliadhirika Kimataifa baada ya kushtukiwa jannja zao.