Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Ni kweli Mkuu Simba ni mnyonge wetu tu na kudhihirisha hilo tunabeba ubingwa wa ligi kuu msimu huu, na msimu ujao tunashiriki ligi ya mabingwa Africa.Eeeh asee, Daaa ila nasikitika kuona kwenye hii ligi yetu sisi mnyonge wetu ni Simba tu mana kina kmc wanatufunga. Tukicheza na simba ndio muda pekee tunakuwa na uhakika Wa asilimia zote kuondoka na matokeo
Ha ha haNi kweli Mkuu Simba ni mnyonge wetu tu na kudhihirisha hilo tunabeba ubingwa wa ligi kuu msimu huu, na msimu ujao tunashiriki ligi ya mabingwa Africa.
Daima mbele
Una akili za kimbwa kweli aiseeNikiwa na akili timamu Yanga ikishinda leo nalala na dada yangu.
Naomba kujua jinsia yako tafadhali.Una akili za kimbwa kweli aisee
sasa kama wewe na dada yako ni jinsia moja ina madhara gani??Nikiwa na akili timamu Yanga ikishinda leo nalala na dada yangu.
Bila shaka maandalizi ya mashuka na godoro kunguni vimeshaanza! Ha ha haNikiwa na akili timamu Yanga ikishinda leo nalala na dada yangu.
Ha ha ha hasasa kama wewe na dada yako ni jinsia moja ina madhara gani??
Mko wapi wale mliojazana kwenye uzi wetu ile siku tuliyofungwa na KMC. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntarudi asubuhi [emoji2210][emoji2210]
Nyie Mnyero. πππUnamtisha nani sasa[emoji23]
Nyie Mnyero. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na matokeo ndio kama hayo.
π€π€π€Nikiwa na akili timamu Yanga ikishinda leo nalala na dada yangu.
Dooh!!! Mi siamini au nyie ndio hamuamini mana jana mkapiga kelele weee mkijua tutapakatwa kama mlivyopakatwa.Huamini kama mmeshinda[emoji23]
Dooh!!! Mi siamini au nyie ndio hamuamini mana jana mkapiga kelele weee mkijua tutapakatwa kama mlivyopakatwa.