Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mzee kuna ile list unataka ingia huko?

......Heeeee! mzee wa zenj kumbe na wewe mmoja wao wanogombaniaga pilau za Manji......ooops! ila hii itakaa vizuri sasa cos tukienda kuleeeeeee uko darajani.....poa! napata tabu na Balanta tuuu.....kuleeee wote Mitutu!
 
Bala amefulia sana kisoccer....namwonea huruma Jpili sina mbeleko ya kumbeba!
 
Bala amefulia sana kisoccer....namwonea huruma Jpili sina mbeleko ya kumbeba!

Hata Goliath alimbeza Daudi hivi hivi lakini mwisho wa siku inajulikana nini kilitokea...Si unajua footbal ni game of chance mkuu.........
 
Hata Goliath alimbeza Daudi hivi hivi lakini mwisho wa siku inajulikana nini kilitokea...Si unajua footbal ni game of chance mkuu.........

......Masa zimechanganya pilipili za South Beach na Mzenj ....deep inside him anajua what normally happens kny game......!
 
......Masa zimechanganya pilipili za South Beach na Mzenj ....deep inside him anajua what normally happens kny game......!

Jokes bila matusi huwa ni chachu za sisi wapenda soccer....

Bala yule jamaa wa Yanga anacheza muziki na walkman muda wote wa mchezo hata kama yanga imefungwa 5-0 anaitwa nani? najua ile walkman alinunuliwa na Tarimba Abbas
 
yale manyoya urembo tu. kasi ya yanga ndugu kwa hii second half ulimi utawatoka

Its good kuwa na Speed kama ya Mnyama otherwise hata nafasi ya pili mwaweza msilambe

Simba Bingwa
 
Its good kuwa na Speed kama ya Mnyama otherwise hata nafasi ya pili mwaweza msilambe

Simba Bingwa

Tusubiri na tuone...Kwani zimebaki mechi ngapi vile??..Halafu mara ya mwisho mmechukua lini ubingwa nyie??,maana mlivokuwa na kiu ya Ubingwa ikitokea mkapokwa tonge mdomoni mwaka huu tutapoteza maisha ya 'wanyama' wengi kwa mshituko🙂🙂
 
nitazitafuta updates za yanga kutoka vyanzo vyote muhimu ili kuleta uhai na changamoto kwa huyu mnyama
 
[B said:
Kingi;777292]nitazitafuta updates za yanga kutoka vyanzo vyote muhimu ili kuleta uhai na changamoto kwa huyu mnyama

Katika kufahamu Kingi

Unaundungu na Kigi Makasi
 
all in all. people stay tuned for yanga updates every now and then. MODS wataweka mambo sawa tuwe na jukwaa moja maridhawa la YANGA
 
Back
Top Bottom