Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

sasa ni dakika ya 75ya mchezo yanga 1 mtibwa 1, mechi ni kali sana wanashambuliana kwa zamu,ball possesion yanga 58 mtibwa 42
 
Hongereni yanga, naona mnakimbiza kwelikweli😕
 
Wakuu mliishia dakika ya 75, leteni update zaidi
 
yanga wamepata bao la pili benko na bao la tatu wamepata sasa hivi Godfrey Boni kupitia kona kwahiyo sasa ni 3-1 Yangai... hongereni watani!!!!😱
 
Love it. Signs of true champions!!
 
yanga wamepata bao la pili benko na bao la tatu wamepata sasa hivi Godfrey Boni kupitia kona kwahiyo sasa ni 3-1 Yangai... hongereni watani!!!!😱

Asante mtani...Kila la heri mechi ya kesho na Manyema(Mkuki wa sumu)
 
Thanks Mkuu... haya mambo naona kama yanataka kugeuka tena!!! manyema ni watoto wa mujini wale!!!

Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom