Hahahahaaa!!! LolUshashiba kiporo unaanza usumbufu[emoji16]
Kwani utakubali basii Shadeeya!?😀😀😀Akaaaa!! Kama ni mshabiki wa Yanga ajiangalie vizuri. 😅😅😅😅
Huenda macho na masikio yake vinaona kinyume. 😎😎😎
Unadhania saa 10 mbali baasi.Mpapaso wao huwa unawahusu sana Yanga wakikutana na mnyama Simba ni GHARIKA la magoli tu.
Simba nguvu moja
Shadeeya bwana unajua kabisa leo tunararua mtu lakini hutaki kukubali kabisa.Unadhania saa 10 mbali baasi.
@Shadeeya akikubali nahamia Utopoloni. [emoji23][emoji23]Kwani utakubali basii Shadeeya!?[emoji3][emoji3][emoji3]
Mmetwaa ubingwa baada ya kumfunga Trans camp na KMC!?Leo bingwa wa nchi timu tishio zaidi kuwahi kutokea kwenye ramani ya soka la Dunia.
Mnyama mkali Simba sc anashuka dimbani kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku zikisalia mechi chache kabla ya kuhitimisha msimu.
Simba nguvu moja Shadeeya
Mzee Rage uko wapi rudi uifute ile laana ulowapa hawa mnyero united ona sasa laana yako imekolea kwelikweli vijana wanazidi kuwa mbumbumbu ha ha haLeo bingwa wa nchi timu tishio zaidi kuwahi kutokea kwenye ramani ya soka la Dunia.
Mnyama mkali Simba sc anashuka dimbani kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku zikisalia mechi chache kabla ya kuhitimisha msimu.
Simba nguvu moja Shadeeya
Mbumbumbu hawawezagi kung'amua mambo,huyo ni mbumbumbu mwenzake sema kashindwa tu kutambua. Cha ajabu kashindwa hata kubaini mwandiko Wa mwenzake!Ukimfuatilia sana atakuwa Mbumbumbu huyo anayejivika shuka la Uwananchi.
Hapo ulipaswa umuulize ilipobebwa ni wapi na hiyo mashine ilitokea wapi mpaka wakapewa Yanga wapumulie Teh teh au huko Instagram wanakopigaga umbea mana Uwanjani hatukuliona hilo.

Hakunaga mwwnanchi mbumbumbu. Hiyo ni damu yao!Akaaaa!! Kama ni mshabiki wa Yanga ajiangalie vizuri. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huenda macho na masikio yake vinaona kinyume. [emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu Simba wanashinda kihalali kabisa na hiyo inatokana na soka safi wanalochezaMtu akiingia humu kwa Mara ya kwanza halafu akakutana na comments za wana mikia humu anaweza akajua huwa wanashinda kihalali!
Mkuu tuliaMtu akiingia humu kwa Mara ya kwanza halafu akakutana na comments za wana mikia humu anaweza akajua huwa wanashinda kihalali!
[emoji3]Mkuu Simba wanashinda kihalali kabisa na hiyo inatokana na soka safi wanalocheza
Simba nguvu moja
Kihalali kabisa kama ule mchezo wa Vits mliotaka kumpa Kabwili ili mshinde kihalaliMkuu Simba wanashinda kihalali kabisa na hiyo inatokana na soka safi wanalocheza
Simba nguvu moja
Wapuuzi hao wanatakiwa waendelee kumchangia roporopo wao pesa za kumpiga bomba kule Hindu Mandal [emoji23][emoji23]Mkuu unataka kukimbiza watu hapa. [emoji41]
Hii Komenti Kama Jamaa Huwa anapitia hapa Nahisi anaweza lazwa ghafla Mkuu wanguWapuuzi hao wanatakiwa waendelee kumchangia roporopo wao pesa za kumpiga bomba kule Hindu Mandal [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaa anajifanya much know kumbe wenzake wanampumulia kitamboHii Komenti Kama Jamaa Huwa anapitia hapa Nahisi anaweza lazwa ghafla Mkuu wangu