Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo bingwa wa nchi timu tishio zaidi kuwahi kutokea kwenye ramani ya soka la Dunia.

Mnyama mkali Simba sc anashuka dimbani kukamilisha ratiba baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu huku zikisalia mechi chache kabla ya kuhitimisha msimu.

Simba nguvu moja Shadeeya
Mzee Rage uko wapi rudi uifute ile laana ulowapa hawa mnyero united ona sasa laana yako imekolea kwelikweli vijana wanazidi kuwa mbumbumbu ha ha ha
 
Hivi Mzee Rage mlimkosea nini Mbona aliwalaani pakubwa hivi? Ona sasa unavyozidi kuangamia kwa umbumbumbu ulokithiri?
 
Ukimfuatilia sana atakuwa Mbumbumbu huyo anayejivika shuka la Uwananchi.

Hapo ulipaswa umuulize ilipobebwa ni wapi na hiyo mashine ilitokea wapi mpaka wakapewa Yanga wapumulie Teh teh au huko Instagram wanakopigaga umbea mana Uwanjani hatukuliona hilo.
Mbumbumbu hawawezagi kung'amua mambo,huyo ni mbumbumbu mwenzake sema kashindwa tu kutambua. Cha ajabu kashindwa hata kubaini mwandiko Wa mwenzake!
 
Akaaaa!! Kama ni mshabiki wa Yanga ajiangalie vizuri. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huenda macho na masikio yake vinaona kinyume. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hakunaga mwwnanchi mbumbumbu. Hiyo ni damu yao!
 
Hii Komenti Kama Jamaa Huwa anapitia hapa Nahisi anaweza lazwa ghafla Mkuu wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaa anajifanya much know kumbe wenzake wanampumulia kitambo
 
Back
Top Bottom