Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtani Ikifika muda wa kuamini hivyo nitaamini ila kwa sasa hapana. 😎Wewe chongaaaa lakini unapaswa kujua kuwa Simba ndio mabingwa wa nchi.
Simba nguvu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani Ikifika muda wa kuamini hivyo nitaamini ila kwa sasa hapana. 😎Wewe chongaaaa lakini unapaswa kujua kuwa Simba ndio mabingwa wa nchi.
Simba nguvu moja
Masikini watani zangu Wagogo walidhani baada ya kuifunga Mwadui ndio Chura FC wamechukua ubingwa!!!
Mapenzi tu na kuwadhihirishia tafsiri sahihi ya kwamba Yanga ni Timu ya Wananchi.Masikini watani zangu Wagogo walidhani baada ya kuifunga Mwadui ndio Chura FC wamechukua ubingwa!!!
Nimeangalia vizuri naona kama pikipiki kumi au tisa hivi😀😀😀Mapenzi tu na kuwadhihirishia tafsiri sahihi ya kwamba Yanga ni Timu ya Wananchi.
Hujamaliza hesabu na watu waliovaa jezi. 😅😅😅😅Nimeangalia vizuri naona kama pikipiki kumi au tisa hivi😀😀😀
Kama sio wewe yule wa mchana. LolKumetokea nini huko kwani Shadeeya, Yanga imetwaa ubungwa TPL?!!!
Si unajua tena saa zingine TANESCO wana makusudi sana. Nimesikia tu kwa mbali Chura FC wametawazwa kua machampioni wa TPL!!!Kama sio wewe yule wa mchana. Lol
Hahaha mpira una matokeo matatu.😝😝Hahahaaa. Mtani naona Kinyonge zaidi. 🤣
Waliovaa jezi ni mafundi wa basi letu maana likifika Kibaigwa salama tunashukuru🤣🤣🤣Hujamaliza hesabu na watu waliovaa jezi. 😅😅😅😅
KIKOSI cha mabingwa wa kihistoria nchini, Yanga SC leo waliView attachment 1479317kuwa wageni waalikwa katika bunge la jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Yanga SC wapo mkoani Dodoma kujiwinda na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya JKT Tanzania, mchezo huo utapigwa siku ya jumatano katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Sawa mbumbumbu fc fanWamechoka kweli.hali mbaya.
Sawa mbumbumbu fc fan
hii picha ya zaman!...namuona Mwambusi hapo...KIKOSI cha mabingwa wa kihistoria nchini, Yanga SC leo waliView attachment 1479317kuwa wageni waalikwa katika bunge la jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Yanga SC wapo mkoani Dodoma kujiwinda na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya JKT Tanzania, mchezo huo utapigwa siku ya jumatano katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Wewe inakuhusu nn?hapo ukichunguza hata mishahara hawajalipwa [emoji22][emoji22]
Makosa toka libraryhii picha ya zaman!...namuona Mwambusi hapo...
Wewe inakuhusu nn?
hii picha ya zaman!...namuona Mwambusi hapo...