Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwenyewe njaa inakusumbua hapo ulipowalipwe mishahara wasije wakafa njaa
Lovely❤
We mwenyewe njaa inakusumbua hapo ulipo
Vitambi FC🤣
Hutaki ama?HII NDO YA LEO. View attachment 1479755
Hutaki ama?
Inaelekea unapenda tukitembeza bakuli eee?Hivi yanga mtaendeshwa na GSM mpaka lini?.
Hili kwangu huwa naliona ni tatizo aisee japo sijoni kama nina jinsi ya kuyazuia haya yote. Sababu muda tu nilisikia za chini chini kwamba GSM hawamtaki huyu Katibu Mkuu na yuko mbioni kung'olewa hatimaye yametimia.Yaani GSM wakisema kiongozi huyu hawamtaki mnamfukuza mtafika kweli?
Hebu huko.Vitambi FC🤣
Inamaana wanaendeshwa kama lile bus bovu lililoharibika pale Kibaigwa?🤣🤣🤣Hivi yanga mtaendeshwa na GSM mpaka lini?.
Yaani GSM wakisema kiongozi huyu hawamtaki mnamfukuza mtafika kweli?
Taratibu taratibu tu hadi vitambi vitapungua, au wewe unaonaje Shadeeya?😀😀😀
Haya ni maneno tu ambayo hata kwenye k h a n g a yapo. 💃Taratibu taratibu tu hadi vitambi vitapungua, au wewe unaonaje Shadeeya?😀😀😀