[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nasikia huko UHURU Kawa mgumu Ila kapapaswa kinguvunguvu hivi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaa anajifanya much know kumbe wenzake wanampumulia kitambo
Hii Gharika ya magoli ulikuwa unaanisha nini eti Mtani? 😎Mpapaso wao huwa unawahusu sana Yanga wakikutana na mnyama Simba ni GHARIKA la magoli tu.
Simba nguvu moja
Mmetoka ngapi ngapi eti huko?Baelezee baelewe
Mtani chepesi kutabiri huwa ni mvua tu. 🤣Shadeeya bwana unajua kabisa leo tunararua mtu lakini hutaki kukubali kabisa.
Sasa nasema hivi utake usitake leo tunaua mtu pale Taifa, amri ya serikali ni moja tu. Alaaaaaa
Simba nguvu moja
Mwenzio nipo kwenye karantini ya coona wala sijafatilia mechi leo🙈🙈🙈Mmetoka ngapi ngapi eti huko?
😀😀Wapuuzi hao wanatakiwa waendelee kumchangia roporopo wao pesa za kumpiga bomba kule Hindu Mandal [emoji23][emoji23]
Ila hazijawasaidia hata.Kweli simba ni wazee wa muamala. Baada ya kupapaswa sehemu ya kutolea haja kubwa,refa kaongeza dakika sita
Na bado. Sijui msg kama hujaiandikia uvunguni mana ulijua naeza kufwata. 🤣🤣🤣Mwenzio nipo kwenye karantini ya coona wala sijafatilia mechi leo🙈🙈🙈
Nilimaanisha USHINDI MZITO ila jamaa wametoa macho sana.Hii Gharika ya magoli ulikuwa unaanisha nini eti Mtani? 😎
Wewe chongaaaa lakini unapaswa kujua kuwa Simba ndio mabingwa wa nchi.Mtani chepesi kutabiri huwa ni mvua tu. 🤣
Kumetokea nini huko kwani Shadeeya, Yanga imetwaa ubungwa TPL?!!!Na bado. Sijui msg kama hujaiandikia uvunguni mana ulijua naeza kufwata. 🤣🤣🤣
Hahahaaa. Mtani naona Kinyonge zaidi. 🤣Nilimaanisha USHINDI MZITO ila jamaa wametoa macho sana.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020