Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

KIKOSI cha mabingwa wa kihistoria nchini, Yanga SC leo walikuwa wageni waalikwa katika bunge la jamhuri ya Muungano Tanzania kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Yanga SC wapo mkoani Dodoma kujiwinda na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya JKT Tanzania, mchezo huo utapigwa siku ya jumatano katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
 
Wamechoka kweli.hali mbaya.
 
hii picha ya zaman!...namuona Mwambusi hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…