Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] oyeeeeeeeeeeeee
 
Hivi yanga mtaendeshwa na GSM mpaka lini?.
Inaelekea unapenda tukitembeza bakuli eee?
Yaani GSM wakisema kiongozi huyu hawamtaki mnamfukuza mtafika kweli?
Hili kwangu huwa naliona ni tatizo aisee japo sijoni kama nina jinsi ya kuyazuia haya yote. Sababu muda tu nilisikia za chini chini kwamba GSM hawamtaki huyu Katibu Mkuu na yuko mbioni kung'olewa hatimaye yametimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…