Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Shadeeya njoo uone tunavyohujumiwa na TFF wamekataa goli letu eti ni offside. Daah inauma sana [emoji45]
Mtani nipe updates za DomHahahaaa. Usiponiona ujue alfajir naamkia hapa.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mtani nipe updates za Dom
Pigaaaaaaaaaaaa
Shadeeya Bana mamuoneaga huruma sana.
Wamerudisha goliNasikia wamechomoa!
Dah..hawa JKT nao wanatuangusha!Wamerudisha goli
Daah afadhali tumechomoa Shadeeya tungeumbuka leo.
Oya ngapi ngapi
Dah...🤔🤔🤔
Usijifiche mkuu atakuja kinyonge sana na atahitaji faraja yetu.Akija me nitajificha[emoji16]