Ingekuwa ni rahisi isingekuwepo Timu ya Wananchi mpaka sasa.Na uwezo tunao na dhamira ya kuibomoa Utopolo tunayo[emoji1]
Unanikumbusha kale ka kaulimbie kenu kale[emoji1787][emoji23][emoji3]
Tuone sasa hiyo sheria ikipindishwa kisa mna hela. πMwenye hela huwezi kubishana nae[emoji16]
Mnatuzoom wapi wakati mnaogopa kuadhirika. πTulia sindano iwaingie, sisi tupo kiiimya tuna wa zoom tu mnavyo tapatapa
Ingekuwa ni rahisi isingekuwepo Timu ya Wananchi mpaka sasa.
Hana ubavu huo.Ndanda wanamchukua huyu nyie bakini kupiga kelele tuππ€£π
Na ndio tushawapeleka TFF sasa. ππHuwa mnajua kujifariji[emoji23]
Tuone sasa hiyo sheria ikipindishwa kisa mna hela. [emoji41]
Hana ubavu huo.
Na ndio tushawapeleka TFF sasa. [emoji41][emoji41]
Kujifariji au ndio ukweli.Huwa mnajua kujifariji[emoji23]
Nyie subirini tuHana ubavu huo.
Wao wanadhani kuna muarobaini kuleUko TFF hakuna maajabu yoyote
Kujifariji au ndio ukweli.
Sema unaenda kujenga Taifa Mtani. ππUnatype kinyonge sana mtani sorry sikutanii tena[emoji23]bye sitaki uanze kulia
Uko TFF hakuna maajabu yoyote
Wakipindisha sheria tunapanda juu zaidi. πWao wanadhani kuna muarobaini kule
Nyie subirini tu
Mtani unaongea na simu? πKumbe unajua mwenye ubavu ni Simba Tu
Wao wanadhani kuna muarobaini kule
Sema unaenda kujenga Taifa wacha kunigeuza sababu. [emoji3][emoji3]
Uwiiii. Nilie kisa Mnyero FC lol. Wacha maskhara mtani.