Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mie ujue bado siamini hivi Morison huyu huyu ndio mnamtolea macho namna hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kipindi tunamsajili mlimpa kila jina baya moja wapo eti mwizi. Lol Sasa mwizi na 5imba wapi na wapi?
Mume halali huyo kwa nini wasimtolee macho? Ha ha ha ha
 
Cha asubuhi mpaka jioni, [emoji23][emoji23][emoji23], jioni hautakula maana akina Nicolas Wadada watakuwa washakuchefua tayari [emoji23][emoji23]
Nawaaminia Wananchi safari hii tunawageuzia kipigo kile cha kina Jaja mana waliomba Poo Azam kwani tuliwanyuka 3 kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…