kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Mume halali huyo kwa nini wasimtolee macho? Ha ha ha haMie ujue bado siamini hivi Morison huyu huyu ndio mnamtolea macho namna hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi tunamsajili mlimpa kila jina baya moja wapo eti mwizi. Lol Sasa mwizi na 5imba wapi na wapi?