Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Hahahaaa. Sevilla Baba lao.
Hivi Wawa aliombaga nini vile? [emoji23][emoji23][emoji23] mana kama nakumbuka na yeye alikuwa anabembeleza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyie mnaomba nini vile,maana mnavyojipendekeza kwa wazungu wakati hamfanani nao,afadhali sisi tuna mzungu wetu Haji Manara[emoji16]