Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Poa Mtani. Naona tunazidi kuwasafishia njia kuelekea ubingwa.
Ndo uwezo mliobakiwa nao wa kusafisha barabara [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa Mtani. Naona tunazidi kuwasafishia njia kuelekea ubingwa.
Haya bana.Ndo uwezo mliobakiwa nao wa kusafisha barabara [emoji16]
Haya bana.
Tunajipanga na FA pamoja na kukiboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao 2020 / 2021.Kinyonge sana usijali mtani endeleeni kuwa wavumilivu
Tunajipanga na FA pamoja na kukiboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao 2020 / 2021.
yudono? 😀FA ya mwaka gan mtani
yudono? 😀
OOOHwei. We bakia hapo hapo tu.Pameshakucha acha kuota[emoji23]
Dua la kuku hilo.. Pole yenuIla hayana mmoja haya Bina.
Umetokolezea na miwani yako kama KOBE😭😭😀Bina hebu tuache kwanza. 😎😎
Mtatafutana humu Binamu.Dua la kuku hilo.. Pole yenu
😂😂😂 BINA DUA MBAYA AOMBEWI NDUGUYO... UNAUVUNJA UDUGU KWA DROO😬😬Mtatafutana humu Binamu.
😀😀😂😂😂 BINA DUA MBAYA AOMBEWI NDUGUYO... UNAUVUNJA UDUGU KWA DROO😬😬
Hicho kiparagraph cha mwisho kinawahusu wale waliomuhoji mzee wa Utopolo. 🙁🙁
Hicho kiparagraph cha mwisho kinawahusu wale waliomuhoji mzee wa Utopolo. [emoji853][emoji853]