Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uyo Yikpe bora mumpe kazi ya ulinzi ndo inamfaa[emoji16]
Msisahau mlipotoka
IMG-20200623-WA0005.jpg
 
kuna mashabiki wa yanga wanataka kumuwamba makofi muhamasishaji wa kung fu PANDA FC.
jamani suluhu na droo pia ni MATOKEO .
 
Kwa yanga hii hii simba alifanyiwa unyama wa kusawazishiwa goli mbili ndani ya dk 3 kabla ya kubanduliwa kimoja
Mechi moja haikupi ubingwa wala uwakilishi kwenye michuano ya kimataifa. Namungo na Azam hazijaifunga Simba msimu huu, lakini zitachukua nafasi kwenye uwakilishi wa nchi. Mwadui na Yanga zimeifunga Simba msimu huu, lakini zitakaa kujipanga kwa ajili ya 2022, zisishuke daraja
 
20200624_055057.jpg
AMEANDIKA KAIMU KATIBU MKUU WA YANGASC. ADV. SIMON PATRICK.

Safari ya mafanikio kamwe haiwezi kuwa rahisi. Utapingwa, Utakatishwa tamaa, Utadanganywa, Utakwazwa na pengine hata kutapeliwa.
Maranyingine watu watakao kukwamisha ni wale walio karibu sana na wewe. Watu uliodhani watakusaidia kufikia lengo lakini unakuta ndio viongozi wa kuhakikisha hupigi hatua.
Ukiamua kukata tamaa basi utawafurahisha na kamwe hufiki popote.

Ndugu zangu Wananchi, safari imeanza nawaomba tushikamane tukamilishe jambo letu la mabadiliko ndio kiu ya kila mwana Yanga kwa miaka mingi.

Kama kuna maoni au ushauri juu ya jambo lolote mda mwafaka wa kuyatoa upo na kila mwana Yanga atapata hiyo fursa. Nimalizie kwa kusema “Our journey to success has never been easy, but with limitless passion and commitment, nothing is impossible”.

#YangaNiYetuSote#

#daimambelenyumamwiko
 
Mechi moja haikupi ubingwa wala uwakilishi kwenye michuano ya kimataifa. Namungo na Azam hazijaifunga Simba msimu huu, lakini zitachukua nafasi kwenye uwakilishi wa nchi. Mwadui na Yanga zimeifunga Simba msimu huu, lakini zitakaa kujipanga kwa ajili ya 2022, zisishuke daraja
Mtani unaongea na simu? 🤣🤣

Mana Yanga kupigania kushuka daraja hiyo veeeppppeeeee. 😎
 
Back
Top Bottom