Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Huko La Liga wameshaa kuwafundisha boxing, judo na sarakasi kama zile za Dodoma, nsikia wanawawekea hizi mjifunze;Siku hiyo tutakayocheza nayo uje uandike haya haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko La Liga wameshaa kuwafundisha boxing, judo na sarakasi kama zile za Dodoma, nsikia wanawawekea hizi mjifunze;Siku hiyo tutakayocheza nayo uje uandike haya haya.
Cha ajabu hawa hawakushupaliwa kama Lamine.Huko La Liga wameshaa kuwafundisha boxing, judo na sarakasi kama zile za Dodoma, nsikia wanawawekea hizi mjifunze;
View attachment 1487323
Hawakushupaliwa!? Dunia nzima ilimzomea Zidane wakati huo, kwa hiyo msihalalishe aliyofanya LamineCha ajabu hawa hawakushupaliwa kama Lamine.
Ujue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.Nawakumbusha tu Morison amebakiza mwezi 1tu kuondoka Yanga hahahahahahahahah wapi GSM
Ilitumia kipindi kirefu kama hiki mnachokitumia kumuhukumu Lamine?Hawakushupaliwa!? Dunia nzima ilimzomea Zidane wakati huo, kwa hiyo msihalalishe aliyofanya Lamine
Hizo kelele zenu ndio zinamchanganya ujue Shadeeya!!!Ujue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.
Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. 🙁
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah HahahahahahahahahhahahahahahahahahUjue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.
Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. 🙁
Mpaka leo Zinade anakumbukwa kwa hiyo fujo ya kijinga, Lamine hasafishiki hata kwa OMO Plus 😂Ilitumia kipindi kirefu kama hiki mnachokitumia kumuhukumu Lamine?
We cheka tu. 😀😀Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
😂😂Mpaka leo Zinade anakumbukwa kwa hiyo fujo ya kijinga, Lamine hasafishiki hata kwa OMO Plus 😂
Pasipo kujua nafasi yao ipo kwenye wasiwasi Mkubwa dhidi ya azamKabisaaa na ndio sababu kimoyo moyo wanaombea tufungwe na Kagera. Teh teh
#DualaKuku.
Hili jambo linafikirisha sana. N way kama ni kweli mchezaji alisaini mkataba basi adhabu walompa ni ndogo ilipaswa asimamishwe hata kwa michizo kadhaa kwa malipo ya nusu mshahara na pasipo mlipa bonus yoyote kwa kipindi hicho chote
Una uhakika gani ndugu yangu mbumbumbu? Ha ha haNawakumbusha tu Morison amebakiza mwezi 1tu kuondoka Yanga hahahahahahahahah wapi GSM
Kama alisaini mkataba basi huyo mchezaji na mbumbumbu watakiona cha moto. Salama yao labda iwe kinyumeUjue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.
Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. 🙁
hahaha hongera kwa kumbukumbu