Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200624_092726.jpg
 
Nawakumbusha tu Morison amebakiza mwezi 1tu kuondoka Yanga hahahahahahahahah wapi GSM
Ujue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.

Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. 🙁
 
Hizo kelele zenu ndio zinamchanganya ujue Shadeeya!!!
 
Ujue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.

Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. 🙁
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
 
Baada ya kuonyesha kiwango bora katika nafasi ya beki wa kulia, nyota wa Yanga, Deus Kaseke, amesema kuwa haikuwa bahati mbaya kwake kucheza eneo hilo kwani analimudu vizuri na ikitokea katakiwa kuendelea kulitumikia, atalitendea haki.​
Kaseke ambaye amekuwa akicheza nafasi ya winga wa kulia, juzi kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Azam, kocha wake, Luc Eymael, alimtumia kama beki wa kulia nafasi ambayo huchezeshwa Juma Abduill.​
Kaseke alipangwa kucheza eneo hilo baada ya Abdul kuwa nje ya uwanja akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano alizozipata katika mechi zilizopita.​
Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa suluhu, Kaseke alionekana kuimudu vizuri nafasi hiyo baada ya kutimiza majukumu yake ya msingi ya kukaba kiasi cha kutoonekana pengo la Abdul.​
Akizungumza mara baada ya mchezo huo, Kaseke alisema: “Sio kama ni bahati mbaya nimepangwa vile, bali ni nafasi yangu sahihi ninayocheza, lakini tangu nije Yanga, nimekuwa natumika zaidi winga wa kulia. “Hata kama kocha akipendezwa kuendelea kunitumia katika eneo hilo, nipo tayari kwa sababu najua naweza kulimudu vizuri,” amesema​
Leo Jumatano Yanga inatarajiwa kushuka uwanja wa Taifa kuumana na Namungo Fc katika mchezo mwingine wa ligi kuu​
Nahodha Msaidizi Juma Abdul amemaliza adhabu yake hivyo anatarajiwa kurejea kikosini na pengine Kaseke anaweza kurudishwa katika nafasi yake ya ushambuliaji kutokea pembeni, upande wa kulia.​
 
Ujue Mtani ndio hivyo tu hili ni Soka la TZ ila nje ya hapo huyu Morison ingefikia hatua akaachwa tu afanye maamuzi na sio kuwavuruga kichwa viongozi wetu namna hiyo.

Sababu ninachokiona hapa ni dhahiri kile kishika uchumba chenu kimemzuzua sio bure. 🙁
Kama alisaini mkataba basi huyo mchezaji na mbumbumbu watakiona cha moto. Salama yao labda iwe kinyume
 
Back
Top Bottom