Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyoshtuka nimecheka. Duuuh!!hee..how did you know [emoji41][emoji41]
[emoji2] sina hakika kama hili naweza kumbukarimemba. 😀😀😀[emoji2088][emoji2088]
Hahahahaaa. Siku zote sisi wazee ndio wasahaulifu Mtani.[emoji2] sina hakika kama hili naweza kumbuka
[emoji23][emoji23]Hahahahaaa. Siku zote sisi wazee ndio wasahaulifu Mtani.
😀😀[emoji23][emoji23]
sawa
ila bado sana kuingia kwenye hilo kundi... labda umri wake uu double
Msisahau mlipotokaUyo Yikpe bora mumpe kazi ya ulinzi ndo inamfaa[emoji16]
Hapa Naamini mnyonge wetu Simba akijitahidi tutakutana nae tena. Njia nyeupe hyoTunajipanga na FA pamoja na kukiboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao 2020 / 2021.
Kwa Yanga hii, hata kwa Kagera Sugar haitatoboaHapa Naamini mnyonge wetu Simba akijitahidi tutakutana nae tena. Njia nyeupe hyo
Kwa yanga hii hii simba alifanyiwa unyama wa kusawazishiwa goli mbili ndani ya dk 3 kabla ya kubanduliwa kimojaKwa Yanga hii, hata kwa Kagera Sugar haitatoboa
Mechi moja haikupi ubingwa wala uwakilishi kwenye michuano ya kimataifa. Namungo na Azam hazijaifunga Simba msimu huu, lakini zitachukua nafasi kwenye uwakilishi wa nchi. Mwadui na Yanga zimeifunga Simba msimu huu, lakini zitakaa kujipanga kwa ajili ya 2022, zisishuke darajaKwa yanga hii hii simba alifanyiwa unyama wa kusawazishiwa goli mbili ndani ya dk 3 kabla ya kubanduliwa kimoja
Hahahaaaa. LolMsisahau mlipotokaView attachment 1486623
Hizi ni kauli za kutaka tujinyongeshe hamna hilo. Mwakani kimataifa kama kawa.FA???? Shadeeya Dada yanguYanga msimu huu habebi kombe lolote,Njia rahisi kwa Yanga kubeba hilo kombe ni kuliiba tu hakuna namna nyingine.
Kabisaaa na ndio sababu kimoyo moyo wanaombea tufungwe na Kagera. Teh tehHapa Naamini mnyonge wetu Simba akijitahidi tutakutana nae tena. Njia nyeupe hyo
Siku hiyo tutakayocheza nayo uje uandike haya haya.Kwa Yanga hii, hata kwa Kagera Sugar haitatoboa
Mtani unaongea na simu? 🤣🤣Mechi moja haikupi ubingwa wala uwakilishi kwenye michuano ya kimataifa. Namungo na Azam hazijaifunga Simba msimu huu, lakini zitachukua nafasi kwenye uwakilishi wa nchi. Mwadui na Yanga zimeifunga Simba msimu huu, lakini zitakaa kujipanga kwa ajili ya 2022, zisishuke daraja