Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Hahahaaa. Sevilla Baba lao.
Hivi Wawa aliombaga nini vile? [emoji23][emoji23][emoji23] mana kama nakumbuka na yeye alikuwa anabembeleza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo umafia umeishia TFF sasa.
Ngoja nikacheke kwanza. LolNa nyie mnaomba nini vile,maana mnavyojipendekeza kwa wazungu wakati hamfanani nao,afadhali sisi tuna mzungu wetu Haji Manara[emoji16]
Ngoja nikacheke kwanza. Lol
Hamna kitu kama hichoo.
We acha tuu....Na ile mikate ya mcheleHahahaaa. Binamu umenikumbusha mbali hiyo ya kuyanywea chai asubuhi lol.
Ila wazazi walikuwa na bajeti sana.
Kitu chepesi kutabiri ni mvua tu - Hii ni kulingana na wewe mwenyewe.Na ndio kitakachotokea hawawezi tufunga mara mbili na amini timu ya Wananchi tunashinda 2 bila.
Kazi ya nini wewe hapo Azam anajichukulia points zake 3 anaondoka.🐸😬Kesho kazi ipo.
Hahaha wazee wa yes yes🐸🐸😬Tatizo sio kuandikwa bali mmeelewa kilichoandikwa[emoji16]
Nikiwa na akili timamu natangaza kuhamia Yanga sc ikiwa itafanikiwa kuifunga Azam fc hapo kesho.😎Betri hilo veeeppeee.
Yanga tunashinda 2 bila. 😎
Kwani we unategemea matokeo yatakuwa kinyume na kichapo kinachosubiriwa?hahaaa kesho ni kichapo tu.Kama naiona Post yangu kesho itakavyoleta Kasheshe hasa matokeo yakiwa kinyume. Lol
Hawataki iwe club ya mtu mmoja au hawataki tia mpunga wao hapo??Sidhani kama watakimbia Mtani.
Ninachokielewa hawataki iwe Klabu ya mtu mmoja hivyo ndio sababu wakatoa mawazo kama hayo.
Mbumbumbu fc huwa wanawaza anticlockwise so hyo kesho obviously utageuka!! Ha ha ha ha haNikiwa na akili timamu natangaza kuhamia Yanga sc ikiwa itafanikiwa kuifunga Azam fc hapo kesho.[emoji41]
Shadeeya hifadhi maneno yangu.
Ninyi huwa mnaahidi kulala hadi na mama zenu,kweli Mzee rage amewaharibu sana kwa laana yake ha ha haNikiwa na akili timamu natangaza kuhamia Yanga sc ikiwa itafanikiwa kuifunga Azam fc hapo kesho.[emoji41]
Shadeeya hifadhi maneno yangu.
yanga wanaweza kushinda mechi hii yanga hucheza kwa juhudi mechi kubwa lakini hulegea wapokutana na kina lipuliNikiwa na akili timamu natangaza kuhamia Yanga sc ikiwa itafanikiwa kuifunga Azam fc hapo kesho.[emoji41]
Shadeeya hifadhi maneno yangu.
Bukta, mzungu akawa anamshangaa tu. Dizaini alikuwa anamuambia wewe Mzee unataka nibaki uchi!?Hahahaaa. Sevilla Baba lao.
Hivi Wawa aliombaga nini vile? [emoji23][emoji23][emoji23] mana kama nakumbuka na yeye alikuwa anabembeleza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya Yanga ni saa ngapi wakuu?